Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Jamhuri hadi anamaliza mpira wake alikuwa Kigogo, alihamia Kimara akiwa kocha, tena baada ya Mwigizaji Rose Ndauka kutikisa nyumbani kwake.Hao wamezaliwa huko kina Kihwelo na njohole family,miaka ya 60 nafahamu,
Mji ulikuwa mdogo sasa mji umekuwa,miaka hiyo Tabata ilikuwa na simba na swala ila kwa saaa jiji limetanuka hakuna haja ya kuishi kigogo
Ni kama aliamua kumweka mbali Mama Super na Rose Ndauka kwani wote ni wakazi wa huko Kigogo. Hiyo ni kabla ya Rose kusonga mbele.
Ova