SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Mara ya mwisho nilikutana naye mwezi July kwenye Eicher inayotoka Kawe kuelekea Mbagala ila mi nilipandia Biafra nikashukia Magomeni Kichangani pale.....Yuko Dar?
Tuliongea machache aliniambia soka kaachana nalo miaka mingi baada ya kuwa Injured mara kwa mara