Kigogo siyo yote mbaya mzee sawa na mburahati ushafika mburahati barafu Wanakaa mpaka wachezaji wa mpira simba na yanga kwaiyo ungenionesha mtaa au nyumba anayokaa hapo ndo ninge judgeKuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu,
Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja.
Nani anapenda kukalua Kigogo,hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu kuishi maeneo tasiyo na hadhi.
Hakuna mtu makini anayekalia Kigogo au mburahati
Nimeshangaa sana kuona Amri kiemba anaishi kigogo
Mbele jalala nyuma choo cha jirani
Kule mbona siyo pabaya kuna mijengo ya maana alafu usichokijua mtu ambaye hana makuu ni kiemba jamaa mtu wa dini sana muslam safi hapendi kujikweza maisha yake simple kama john boko kumkuta anapanda daladala kwake kawaida sana nafikili ndo maisha ya uhuru kuto kupretend lifeKigogo ya karibu na dampo la zamani
Bocco anaishi kishua sana,napenda simple life ila ni risky sana,usalama wako ndio lipaumbele changuKule mbona siyo pabaya kuna mijengo ya maana alafu usichokijua mtu ambaye hana makuu ni kiemba jamaa mtu wa dini sana muslam safi hapendi kujikweza maisha yake simple kama john boko kumkuta anapanda daladala kwake kawaida sana nafikili ndo maisha ya uhuru kuto kupretend life
Kwani Bocco anapanda daladala?Bocco anaishi kishua sana,napenda simple life ila ni risky sana,usalama wako ndio lipaumbele changu
Inahitajika busara sana kuishi hapa duniani. Kuwa simple inakusaidia kuishi maisha ambayo hayana shida yoyote. Ukakaa na kuongea na watu wa aina zote, inapendeza sana.Kule mbona siyo pabaya kuna mijengo ya maana alafu usichokijua mtu ambaye hana makuu ni kiemba jamaa mtu wa dini sana muslam safi hapendi kujikweza maisha yake simple kama john boko kumkuta anapanda daladala kwake kawaida sana nafikili ndo maisha ya uhuru kuto kupretend life
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbaff! Mpe pesa ya Kodi aende Ada Estate!
Barafu pametulia sana ila bado ni uswazi vilevile japo pana utulivu sana hapana mishkeli nyingi za uswahilini kama vingunguti au tandale uko.Kigogo siyo yote mbaya mzee sawa na mburahati ushafika mburahati barafu Wanakaa mpaka wachezaji wa mpira simba na yanga kwaiyo ungenionesha mtaa au nyumba anayokaa hapo ndo ninge judge