Amri Kiemba wewe ni superstar hutakiwi kuishi Kigogo

1. Deo Njohole
2. Jamhuri Kihwelo
3. Saleh Zonga - Pazi (Basketball)
4. David Wakati
5. Riziki Shawa
6. Benny Luoga
etc

Ova
 
1. Deo Njohole
2. Jamhuri Kihwelo
3. Saleh Zonga - Pazi (Basketball)
4. David Wakati
5. Riziki Shawa
6. Benny Luoga
etc

Ova
Hao wamezaliwa huko kina Kihwelo na njohole family,miaka ya 60 nafahamu,
Mji ulikuwa mdogo sasa mji umekuwa,miaka hiyo Tabata ilikuwa na simba na swala ila kwa saaa jiji limetanuka hakuna haja ya kuishi kigogo
 
Acha zarau
 
Kiswahili ni lugha ngumu sana au siyo, au ni makusudi umefanya kumdhihaki Kiemba?

Kila sentensi inayoongelea kuishi maeneo ya Kigogo, wewe 'unaitohoa' eti kukalia kigogo.

Kwa nini mnapenda kuchomekea matusi hata pasipostahili?
 
Moderators hii tabia sio nzuri ama pengine umri wenu ni wachanga sana ni uhuni kuruhusu upumbavu kama huu, hii ni aibu kwa jukwaa mmekosa adabu kuruhusu fedheha kama hii na uzushi na matusi kama haya , je mmebariki kuitukana kigogo?
 
Tunapangiana tena?
 
Nyie ndio mnafanya mastaa wakifulia wanajinyonga sasa mbagala kule anapoishi juma nature ni balaa kuna vibaka halafu kuuliwa njenje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…