Amri ya sita (Usizini)

Amri ya sita (Usizini)

mimi mwenzenu nimeacha uzinzi na jina langu la mzee wa kunjunja na kunjunjumila nimeliacha.
 
Hata mitihani ina majaribio sembuse uzinzi

Ninavyouwaza hapa😂😂😂
 
Hamjambo;

Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja.

Amri ya sita iheshimiwe hatakama umekosa elimu juu ya madhara mbalimbali kuhusu ngono basi tumia akili.

Kama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana kuwa mjinga halafu unajiamini.
Nafahamu kuwa kuna viungo ambavyo huwa havisikii, ila usikubali hisia zikuendeshe.

Usikubali kuzini na mwanamke/ mwanaume kabla ya ndoa ina madhara mengi sana tusiwe kama watoto wa nursery buana.

Kingine jitahidi ukwepa dhambi, wala sio ibada.

Usizini.
Walimu wamezidi kuendekeza ngono mpk wanafanya na wanafunzi. Nashauri walimu wachongewe chupi za chuma zenye komeo kwa mbele la kuwekea kufuli.funguo akae nazo afisa elimu .
 
Attachments

  • EWRvI0pX0AAd82s.jpg
    EWRvI0pX0AAd82s.jpg
    43.4 KB · Views: 2
Ni sawa na kumwambia mtu, makande yatakuwa menu yako kila siku hadi ufe, unaweza?
 
Mwanaume aliemtamani mwanamke tu amekwisha kuzini nae

Na mwanamke ukitamaniwa na mwanaume tu umekwisha zini nae
Chunga mavazi yako vaa kulingana na Mungu alivyokuagiza
Maandiko yanasema wengi watauliza kweli nilizini lakini mbona huyu sikuwah kufanya nae????
Na uyu je...
Kila aliekutazama kwa kukutamani kutokana na mavazi yako basi ulishazini nae
 
Amina
 
Mbona walioko kwa ndoa ndo wanaongoza kwa kutenda zaidi ya wasioko kwa ndoaa?
 
Mwanzo ngapi sijui ile

Zaeni mkaijaze dunia

Huku kwingine mnaambiwa Usizini. Mkiambiwa hivyo vitabu vyenu ni vya kiendawazimu huwa hamuelewi tu, utazaa vipi bila ya kutombwa? Tena wengine mnajifanya mara kuita uasherati, mara sijui uzinzi
 
Elewa maana ya uzinzi,kuzaa ni kwa ajili ya walio kwenye ndoa tu
 
Hamjambo;

Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja.

Amri ya sita iheshimiwe hatakama umekosa elimu juu ya madhara mbalimbali kuhusu ngono basi tumia akili.

Kama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana kuwa mjinga halafu unajiamini.
Nafahamu kuwa kuna viungo ambavyo huwa havisikii, ila usikubali hisia zikuendeshe.

Usikubali kuzini na mwanamke/ mwanaume kabla ya ndoa ina madhara mengi sana tusiwe kama watoto wa nursery buana.

Kingine jitahidi ukwepa dhambi, wala sio ibada.

Usizini.
Kwanza ni Amri ya Saba na Sio ya Sita..

Soma Amri zote Kutoka 20
 
Back
Top Bottom