Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanipa hofu sana ya afya yako ya akili??Tatizo lako umefungwa kufahamu kwani kuf-ira ni dhambi
Una maana gani?Hata mitihani ina majaribio sembuse uzinzi
Ninavyouwaza hapa😂😂😂
Waafrika mmefungwa akiliUnanipa hofu sana ya afya yako ya akili??
Walimu wamezidi kuendekeza ngono mpk wanafanya na wanafunzi. Nashauri walimu wachongewe chupi za chuma zenye komeo kwa mbele la kuwekea kufuli.funguo akae nazo afisa elimu .Hamjambo;
Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja.
Amri ya sita iheshimiwe hatakama umekosa elimu juu ya madhara mbalimbali kuhusu ngono basi tumia akili.
Kama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana kuwa mjinga halafu unajiamini.
Nafahamu kuwa kuna viungo ambavyo huwa havisikii, ila usikubali hisia zikuendeshe.
Usikubali kuzini na mwanamke/ mwanaume kabla ya ndoa ina madhara mengi sana tusiwe kama watoto wa nursery buana.
Kingine jitahidi ukwepa dhambi, wala sio ibada.
Usizini.
Soma toratiKwenye Muislamu hatuna Amri ya sita.
Nyampara coming soonWalimu wamezidi kuendekeza ngono mpk wanafanya na wanafunzi. Nashauri walimu wachongewe chupi za chuma zenye komeo kwa mbele la kuwekea kufuli.funguo akae nazo afisa elimu .
Nipe Aya ya kuruani yenye Amri ya sitaSoma torati
AminaMwanaume aliemtamani mwanamke tu amekwisha kuzini nae
Na mwanamke ukitamaniwa na mwanaume tu umekwisha zini nae
Chunga mavazi yako vaa kulingana na Mungu alivyokuagiza
Maandiko yanasema wengi watauliza kweli nilizini lakini mbona huyu sikuwah kufanya nae????
Na uyu je...
Kila aliekutazama kwa kukutamani kutokana na mavazi yako basi ulishazini nae
Kabisa wanachukua mademu zetu.Mbona walioko kwa ndoa ndo wanaongoza kwa kutenda zaidi ya wasioko kwa ndoaa?
Elewa maana ya uzinzi,kuzaa ni kwa ajili ya walio kwenye ndoa tuMwanzo ngapi sijui ile
Zaeni mkaijaze dunia
Huku kwingine mnaambiwa Usizini. Mkiambiwa hivyo vitabu vyenu ni vya kiendawazimu huwa hamuelewi tu, utazaa vipi bila ya kutombwa? Tena wengine mnajifanya mara kuita uasherati, mara sijui uzinzi
FUngua akili, na walio kwenye ndoa na hawana uwezo wa kutungishana mimba? Kuzaa ni kwa ajili ya kila kiumbe chenye uzazi.Elewa maana ya uzinzi,kuzaa ni kwa ajili ya walio kwenye ndoa tu
Kwanza ni Amri ya Saba na Sio ya Sita..Hamjambo;
Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja.
Amri ya sita iheshimiwe hatakama umekosa elimu juu ya madhara mbalimbali kuhusu ngono basi tumia akili.
Kama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana kuwa mjinga halafu unajiamini.
Nafahamu kuwa kuna viungo ambavyo huwa havisikii, ila usikubali hisia zikuendeshe.
Usikubali kuzini na mwanamke/ mwanaume kabla ya ndoa ina madhara mengi sana tusiwe kama watoto wa nursery buana.
Kingine jitahidi ukwepa dhambi, wala sio ibada.
Usizini.
Ndio unautafuta huo uwezo wa kuzaa sasaFUngua akili, na walio kwenye ndoa na hawana uwezo wa kutungishana mimba? Kuzaa ni kwa ajili ya kila kiumbe chenye uzazi.