Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Tundu Lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.
Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".
Tundu Lissu alisema vitambulisho vya wamachinga ni wizi. Magufuli akasema kuwa hawalazimishwi kuvinunua wakati ukweli tunaujua.
Lissu, usisahau kufukua makaburi yote ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa nyumba za NHC, makinikia, Trilion 1.5 na mengine mengi.
KWELI TUNDU LISSU NI KIBOKO YAKE JIWE