Uchaguzi 2020 Amri za Tundu Lissu zinatekelezwa na Rais Magufuli

JPM hana muda mchafu wa kurumbana na tahira.
Lissu anakesha kutwa kucha kumnadi JPM kwenye media na kwenye kampeni zake.
wakati JPM anachanja mbuga kwa sera nzuri na zenye kueleweka na watanzania wanamuelewa sana tu.
Asante sana wana CDM na wana mapinduzi wote manake kwa kweli mnawabamiza ccm vilivyo kila kona, JF, FB,WA na kwingineko, safi kabisa.
 
“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”
 
Mpaka sasa najiuuliza moja ya sera katika ilani ya CCM ilkuwa ni kumjibu lissu..
 
“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”
Mkuu ilani ya chama sio kama fasihi simulizi unafasiri unavyoweza
 
1600774802491.png
 
Acha jazba,huu mchezo auhitaji asira,October andaa papmers najua Chadema mtajiharishia kwa jinsi mtakavyopigwa chini na CCM.
Nabishana na jitu ambalo halijui hata kuandika.....twaweza ....ccm inawafuasi wengi wajinga
 
Tundu lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.

Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".

Tundu Lissu alisema vitambulisho vya wamachinga ni wizi. Magufuli akasema kuwa hawalazimishwi kuvinunua wakati ukweli tunaujua.

Lissu, usisahau kufukua makaburi yote ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa nyumba za NHC, makinikia, Trilion 1.5 na mengine mengi.

KWELI TUNDU LISSU NI KIBOKO YAKE JIWE
Tatizo lenu kubwa ni UKOSEFU WA SERA! Hilo ndio tatizo lenu kubwa kiasi ambacho linawafanya mdandie mambo ya kiutekelezaji ambayo tayari yanafanya kazi na wahusika wanaridhishwa nayo; mnacho fanya ni kupick minor and irrelevant points katika utekelezaji wa hayo mambo. Sasa unazungumzia habari ya ajira, kutoa pesa, sijui ID za machinga na vihoja mbalimbali. Leteni sera watu wazisikie na kufanya maamuzi. Acheni kumsikiliza Amsterdam na uongo na uchochezi wake, HAPA HAPATI KITU!
 
“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”
Tajiri Kichwa hiki kikundi cha wanaojiita chadema kinaangalia maslahi binafsi tuu.
Watanzania wanawajua na watashangaa October 28
 
Tuliolipishwa kitambulisho cha mmachinga tuna jambo letu 28.10.2020
 
Tundu lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.

Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".

Tundu Lissu alisema vitambulisho vya wamachinga ni wizi. Magufuli akasema kuwa hawalazimishwi kuvinunua wakati ukweli tunaujua.

Lissu, usisahau kufukua makaburi yote ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa nyumba za NHC, makinikia, Trilion 1.5 na mengine mengi.

KWELI TUNDU LISSU NI KIBOKO YAKE JIWE
Lissu anataka kutugawa kupitia majimbo.

Vs

Atayechagua upinzani hasitegemee miradi ya maendeleo kutoka kwenye serikali yangu.

Hizo kauli zote ni za mtu mmoja, nahisi dish lake limeyumba.
 
Meko anatia huruma sana majukwaani.

Yaani unaweza fikiri kwamba ni yatima.
Toka aanze kampeni au hata nyuma anajizuia kuisema chadema na unaona kabsa huu ujumbe ni wa chadema lkn ataitaja cuf au act lkn wakati yuko Tabora nilishangaa kusikia anaomba kura za wanachadema.
 
Jiwe ni follower mzuri sana wa Lissu. Amefaidika sana na constructive criticisms anazotoa Lissu. Sio kama hao watu wake wanaomwibia iyena iyena.
Magufuli angezungukwa na washauri kama 10 tu wa aina ya Tundu Lissu angekuwa rais bora wa karne hii, ila tatizo amezungukwa na mijitu mijinga mijinga
 
Lissu fukua na hili kaburi pamoja na ufisadi wa kiwango cha stiegler's gorge wa Mayanga contractors!
5430210.jpg
 
Tundu lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.

Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".

Tundu Lissu alisema vitambulisho vya wamachinga ni wizi. Magufuli akasema kuwa hawalazimishwi kuvinunua wakati ukweli tunaujua.

Lissu, usisahau kufukua makaburi yote ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa nyumba za NHC, makinikia, Trilion 1.5 na mengine mengi.

KWELI TUNDU LISSU NI KIBOKO YAKE JIWE
 
Attachments

Back
Top Bottom