Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Aliwahi kusema hajaribiwi, lakini kumbe mwepeeesi, anajribiwa kila siku na mbeba maono.KWELI TUNDU LISSU NI KIBOKO YAKE
Ni kweli. Kamanda Lissu pigilia nondo za kikokotoo mpaka jiwe asalimu amri!Angepewa nafasi ya kusema hata tangu 2015 upinzani ungeshakuwa CCM.
Kwa mada hii ile uongo kuwa magufuli sio msikivu tunauzika rasmi
JPM hana muda mchafu wa kurumbana na tahira.
Lissu anakesha kutwa kucha kumnadi JPM kwenye media na kwenye kampeni zake.
wakati JPM anachanja mbuga kwa sera nzuri na zenye kueleweka na watanzania wanamuelewa sana tu.
Ahaa,Chadema mnastrees sana.embu tulia huu mchezo hauitaji hasira.tarehe ikifika mpige kura kisha mrudi nyumbani mtaletewa matokeo nyumbani kwenye hot port.tena kwa taarifa yako hakuna mtu anafatilia kila analosema lissu kama mzee wenu meko/mayanga/jiwe,
we fatilia utaona jinsi anatumia mda mwingi kumjibu lissu na kutishia wapiga kura.
acheni kujifariji wana lumumba, lissu anapiga biti nyie mnafatisha kila kitu, akipiga taarabu na viuno mtakata.
Mkuu umefikiria mbali sana, na huu ndio ukweli!Hii nchi Lissu asingepigwa risasi huyu dictator uchwara angeshajiuzulu siku nyingi.
We kweli zombie lake...ukitafuta wagombea matahira yey si number moja....kweli msemo wa wew nyani huon kundule lako umetimia kwakoJPM hana muda mchafu wa kurumbana na tahira.
Lissu anakesha kutwa kucha kumnadi JPM kwenye media na kwenye kampeni zake.
wakati JPM anachanja mbuga kwa sera nzuri na zenye kueleweka na watanzania wanamuelewa sana tu.
Kumbe anasikia kabisa aisee? Nani kampa dawa?Angepewa nafasi ya kusema hata tangu 2015 upinzani ungeshakuwa CCM.
Kwa mada hii ile uongo kuwa magufuli sio msikivu tunauzika rasmi.
Acha jazba,huu mchezo auhitaji asira,October andaa papmers najua Chadema mtajiharishia kwa jinsi mtakavyopigwa chini na CCM.We kweli zombie lake...ukitafuta wagombea matahira yey si number moja....kweli msemo wa wew nyani huon kundule lako umetimia kwako
Leo kataja hadi kurasa za ilani ya CHADEMAJiwe ni follower mzuri sana wa Lissu. Amefaidika sana na constructive criticisms anazotoa Lissu. Sio kama hao watu wake wanaomwibia iyena iyena.
Kupigwa kwake risasi ni mchakato wa kiroho, yalikuwa makusudi ya Mingu, huwezi jua.Hii nchi Lissu asingepigwa risasi huyu dictator uchwara angeshajiuzulu siku nyingi.