Asante sana wana CDM na wana mapinduzi wote manake kwa kweli mnawabamiza ccm vilivyo kila kona, JF, FB,WA na kwingineko, safi kabisa.JPM hana muda mchafu wa kurumbana na tahira.
Lissu anakesha kutwa kucha kumnadi JPM kwenye media na kwenye kampeni zake.
wakati JPM anachanja mbuga kwa sera nzuri na zenye kueleweka na watanzania wanamuelewa sana tu.
Mkuu ilani ya chama sio kama fasihi simulizi unafasiri unavyoweza“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”
Tuendelee kukumbushana
Nabishana na jitu ambalo halijui hata kuandika.....twaweza ....ccm inawafuasi wengi wajingaAcha jazba,huu mchezo auhitaji asira,October andaa papmers najua Chadema mtajiharishia kwa jinsi mtakavyopigwa chini na CCM.
JPM hana muda mchafu wa kurumbana na tahira.
Lissu anakesha kutwa kucha kumnadi JPM kwenye media na kwenye kampeni zake.
wakati JPM anachanja mbuga kwa sera nzuri na zenye kueleweka na watanzania wanamuelewa sana tu.
Tofautisha usikivu na woga.Angepewa nafasi ya kusema hata tangu 2015 upinzani ungeshakuwa CCM.
Kwa mada hii ile uongo kuwa magufuli sio msikivu tunauzika rasmi.
Tatizo lenu kubwa ni UKOSEFU WA SERA! Hilo ndio tatizo lenu kubwa kiasi ambacho linawafanya mdandie mambo ya kiutekelezaji ambayo tayari yanafanya kazi na wahusika wanaridhishwa nayo; mnacho fanya ni kupick minor and irrelevant points katika utekelezaji wa hayo mambo. Sasa unazungumzia habari ya ajira, kutoa pesa, sijui ID za machinga na vihoja mbalimbali. Leteni sera watu wazisikie na kufanya maamuzi. Acheni kumsikiliza Amsterdam na uongo na uchochezi wake, HAPA HAPATI KITU!Tundu lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.
Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".
Tundu Lissu alisema vitambulisho vya wamachinga ni wizi. Magufuli akasema kuwa hawalazimishwi kuvinunua wakati ukweli tunaujua.
Lissu, usisahau kufukua makaburi yote ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa nyumba za NHC, makinikia, Trilion 1.5 na mengine mengi.
KWELI TUNDU LISSU NI KIBOKO YAKE JIWE
Tajiri Kichwa hiki kikundi cha wanaojiita chadema kinaangalia maslahi binafsi tuu.“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”
Lissu anataka kutugawa kupitia majimbo.Tundu lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.
Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".
Tundu Lissu alisema vitambulisho vya wamachinga ni wizi. Magufuli akasema kuwa hawalazimishwi kuvinunua wakati ukweli tunaujua.
Lissu, usisahau kufukua makaburi yote ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa nyumba za NHC, makinikia, Trilion 1.5 na mengine mengi.
KWELI TUNDU LISSU NI KIBOKO YAKE JIWE
Kwa umahiri mkubwa mnooooJiwe analicheza ligwaride la Lissu.
Unamaanisha mbowe ni zaidi ya magufuli ?Lissu ana amri gani?. Kama anajipenda, amguse mwenyekiti wa saccos yao tu aone moto. Lissu mwepesi Sana.
Toka aanze kampeni au hata nyuma anajizuia kuisema chadema na unaona kabsa huu ujumbe ni wa chadema lkn ataitaja cuf au act lkn wakati yuko Tabora nilishangaa kusikia anaomba kura za wanachadema.Meko anatia huruma sana majukwaani.
Yaani unaweza fikiri kwamba ni yatima.
Magufuli angezungukwa na washauri kama 10 tu wa aina ya Tundu Lissu angekuwa rais bora wa karne hii, ila tatizo amezungukwa na mijitu mijinga mijingaJiwe ni follower mzuri sana wa Lissu. Amefaidika sana na constructive criticisms anazotoa Lissu. Sio kama hao watu wake wanaomwibia iyena iyena.
Tundu lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.