Uchaguzi 2020 Amri za Tundu Lissu zinatekelezwa na Rais Magufuli



Kwa namna jpm anavyotenda alipaswa kuwa nyapara, nyapara sikuzote ukimpa nfasi za juu anakua kama kicha.... hana kipaumbele, hana lengo... hana mbinu wala miakakti... ni kutumia amri na kushurutisha.................... ndo maana inajidhihirisha sasa... anapaswa kutumwa na LISU
 
Jiwe atakuwa anajiuliza huyu Lissu ni kiumbe wa namna gani maana hata nilipojaribu kumwua hakufa?
 
Anamsaidia Raisi kuongoza.....

Anatumua muda mwingi kumkosoa Raisi badala ya kujinadi....

Good for JPM....

Viva JPM 2020 to 2030
 

Hapa Kazi tu! Hatuwezi kulishwa majungu na vibaraka wa makuwadi.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…