Rais mstaafu ana watoto wa 5 wote wanagombea nyazifa mbalimbali mwaka huu kama wewe ni mmoja wao unadhani wewe na ukoo wenu wote mnaweza kumpenda Lisu au upinzani wowoteICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.
Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC...
Kinachoendelea huku Zanzibar,ni umwinyi. Pia huko Tanzania bara Nako nawaona watoto wa kawawa,mhagama,mnauye,makamba,kikwete,lusinde,Pinda,lowasa, mke wa kikwete umwinyi unaanza pole pole .Rais mstaafu ana watoto wa 5 wote wanagombea nyazifa mbalimbali mwaka huu kama wewe ni mmoja wao unadhani wewe na ukoo wenu wote mnaweza kumpenda Lisu au upinzani wowote
Kama unaweza kuongea hivi basi wewe nimejiridhisha bila shaka ni mbumbumbu.Ukisubiri uone utasubiri sana tu mzee..bora uendelee na shughuli zako za kutafuta ugali..mambo ya ngosha dunia yenyewe imenyoosha mikono..muulize balozi wa marekani aliyeondoka na yule balozi wa umoja wa ulaya aliyefungashwa.
Waanze na kagame kumshugurikia na museveni mabeberu banaaaLissu ananyoosha watu na hakika watasghulikiwa kimataifa.
Lissu anaweza kupata support ya kimataifa kama ilivyokuwa kwa Mandela wakati yuko gerezani.
Kumuita mbumbumbu umemsifu, ni zaidi ya mbumbumbu.Kama unaweza kuongea hivi basi wewe nimejiridhisha bila shaka ni mbumbumbu.
Kichaa akikwapua nguo zako na kuvaa akatimua mbio kisha wewe mwerevu ukakimbizana nae ukiwa uchi, utaonekana kichaa. Hawa ni wa kupuuzwa kisha vitendo wataviona.Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.
Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.
Maana magufuli huwa hajibizani. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Notes ya tatu ilitumwa jana.mchana mwemaWanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.
Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.
Maana magufuli huwa hajibizani. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Atamwachia Mungu mkuu maana kura haziwezi mtosha.Hifadhi maneno, yeye siyo yule wa namwachia Mungu. Maana mmezoea vya kunyonga.
Huwa hajibizani bali anaropoka tu kulingana na alivyoamka.Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.
Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.
Maana magufuli huwa hajibizani. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Lisu anajua alichokuwaanakifanya alikuwa anawaonyesha dunia jinsi alivyo tishio katika uchaguzi kwa mtawala na kwa nini alipigwa risasiWe umeona kuna mtu ameanza campaign mapema? Soma hiyo barua kama Lissu alikuwa anaona anachofanya sio kosa kwa kanuni za uchaguzi mbona anajihami leo kutokana na mambo aliyokuwa akifanya.
Ndio hayo watu walikuwa wanawaambia katika vyama 16 vilivyochukua form ni CDM peke yake ndio waliobaini loopholes za kanuni. Wengine wote mazoba.
NEC awajasema kitu mpaka sasa ni Lissu tu ndio anaeangaika na wasiwasi atakatwa kwa kuanza campaign mapema.
Kweli wewe ni wa ajabu , umewezaje kufikiri kuwa kuna nchi inaweza kuendeshwa kwa barua.Nchi haiendeshwi na barua za mabeberu.
Mandela alikuwa anapigania Uhuru huyo Lisu anapigania nini?Lissu ananyoosha watu na hakika watasghulikiwa kimataifa.
Lissu anaweza kupata support ya kimataifa kama ilivyokuwa kwa Mandela wakati yuko gerezani.
Duh barua ndefu sana, hawajui kufupisha maneno wanasheria hao?Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe.
======
View attachment 1545058
View attachment 1545059
View attachment 1545060
Wewe ni mjinga tu, kwani press release za Msigwa (Ikulu) zinapoonekana mitandaoni maana yake huwa ni nini we bwege? Wewe unaona barua ziko addressed kwa watu Fulani halafu unaleta utopolo wa Lumumba hapa?Kama siku hizi serikali inashughulika na barua za mitandaoni basi tuna serikali mfu kama mlivyo wafu raia kama wewe.
Duh! Yameibuka!Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe.
======
View attachment 1545058
View attachment 1545059
View attachment 1545060
Ulitaka nikudanganye au sio ili upate ahueni?Kama unaweza kuongea hivi basi wewe nimejiridhisha bila shaka ni mbumbumbu.