Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Wewe ni mjinga tu, kwani press release za Msigwa (Ikulu) zinapoonekana mitandaoni maana yake huwa ni nini we bwege? Wewe unaona barua ziko addressed kwa watu Fulani halafu unaleta utopolo wa Lumumba hapa?
Kwa hiyo hata mpuuzi kama wewe ukitoa taarifa ya ikulu tuichukue tu?? Unajua maana ya reliable source we msukule wa ufipa?
 
Mnajitekenya wenyewe, hao mabeberu mnawapelekea taarifa wenyewe chadema kisha wanabadili lugha toka kiswahili kwenda kingereza alafu mnasema wamelima barua.
 
Great Thinker
 
Sasa unamkasirikia nani?
 
Wao waseme wanachotaka ni kuendelea kutubia na hilo halitakuwepo tu. wao waendelee kumfadhiri ila mwisho wa siku kurudia tena enzi zile za Mangungo wa Msovero hatuko tayari na hawatapata wanchotaka kutubia
Tulia mama usipate taabu ,kila wanachopanga kinajulikana soma hapa, Jiwe mwaka huu atawajua wenye dunia.View attachment 1545046
 
Kwa hiyo hata mpuuzi kama wewe ukitoa taarifa ya ikulu tuichukue tu?? Unajua maana ya reliable source we msukule wa ufipa?
Wewe ni mweupe tu upstair, nani amekwambia uichukue au usiichukue? PR za Ikulu tunazoziona mtandaoni nani huwa anakuambia uichukue au usiichukue? What an argument you are making here you bwege? Nini maana ya "realiabe source" in this context? Unataka hii barua ya Amsterdam iletwe hapa na nani ili tuiamini?
 
Upuuzi mtupu, hiyo ni law firm, kama law firm zingine za hapa mtaani kwetu, ni sawa na IMMA kutuma barua kwa rais. ilimradi ni wazungu basi mswahili kaona ndio watamsaidia. Huyu ni magufuli, hababaikii wazungu, au bado mpaka leo hamja tambua hilo?
 
Jamaa yupo vizuri sana kichwani!
Ndio maana mzee wa phd feki anamuogopa sn.....

Lissu ana akili nyingi sana. We kumbuka alivokua anasimamisha bunge hadi mwanasheria mkuu wa serikali alikua anaomba rejea kwa Tundu Lissu...

Lissu ni mpango wa Mungu.....
 
Ndio maana mzee wa phd feki anamuogopa sn.....

Lissu ana akili nyingi sana. We kumbuka alivokua anasimamisha bunge hadi mwanasheria mkuu wa serikali alikua anaomba rejea kwa Tundu Lissu...

Lissu ni mpango wa Mungu.....
Sana mkuu wana Muogopa maana wana makando kando mengi!
 
Wewe unajiona upo kisiwani siyo endelea na upumbavu wenu mda si mrefu mtajua hakuna kidonda kinakosa dawa hata kama kitagoma kupona
 
Sheria za wajinga wa ccm huwa ni tofauti na sheria za NEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…