Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Wanasaccos na mabeberu ndiyo wanahangaika sana mara mabeberu wameandika barua JF sijui kwa rais. Sisi tunataka angombee ili 28/10/2020 akiona matokeo afe kihoro kabisa arudi kwao Ubelgiji akawaone familia yake akiwa na maumivu ya kutosha!!

Hapo ndipo waTanzania wote bila kujali vyama tunataka, mpambano ktk kilinge cha sanduku la kura siyo mpambanaji mmoja kujaribu kukwepa pambano hili la karne ktk demokrasia kwa kutafuta afueni asipambanishwe.

Dunia nzima inahamu na pambano hili la mgombea wa CCM vs mgombea wa CHADEMA . Hakuna nafasi ya kukimbia pambano hili ndani ya sanduku la kura
 
Huyu Amsterdam alisikilizwa alipisema Tl asikamatwe akitua si ndio? Akisikilizwa tena ntaamini anayezungumza ni mtu tofauti kabisa na anavyojipambanua.
Hakusikilizwa..ila serikali imemuacha tu afurukute..maana si uliona hata lema alisema alimuuliza unarudi huogopi kukamatwa.
 
Tunafuata sheria za TZ kama amevunja sheria yoyote ya uchaguzi lazima ashughulikiwe kisheria hiyo ndiyo demokrasi
 
Ni ile ukiniacha unaniogopa, ukinipiga unanionea
 
Tunafuata sheria za TZ kama amevunja sheria yoyote ya uchaguzi lazima ashughulikiwe kisheria hiyo ndiyo demokrasi

Hapa hata mjaribu vipi bondia wenu wa kisiasa ashindwe kupata mpinzani hilo haliwezekani tumefikia point of no return, pambano lazima liwepo mtake msitake hakuna jinsi, mnaogopa nini wakati watazamaji tushajaa ktk ukumbi kushuhudia pambano, mleteni mpambanaji wenu mwenye sifa kedekede ndani ya nchi na mashabiki wengi nje ya nchi tangu 2015.
 
P Hivi unaamini Kuna mhimili wa mahakama Tanzania?
Mihimili yote imeungana na kuwa mmoja au imekufa umebaki mmoja
 
Waambie hao shetani wauaji wa Lissu kwamba mwaka huu kuzimu watarudi hakuna jiwe litakaoachwa bila kugeuzwa mwambie huyo bwana aende kwa rafiki yake Kagame ampige tafu kwenye hili, kwa hiyo ulivyo mpuuzi umeona sasa hivi upepo unafunua nyeti za kuku ndo unanyanyua mdomo kwamba mahakama inaingiliwa mbona akati Lissu anafanyiwa unyama hukuuliza mahakama wala usalama wa taifa chochote juu ya uchunguzi wa Lissu?

Jipange kwenda kuchunga ng'ombe kwenu huu mwaka wenye akili msio wataka wametimba ndani ya nyumba mna hali ngumu.
 

Yawezekana uko sahihi sana Chief ila hii;....

(”Barua imeandikwa kiweledi haswa na imebeba amri na maelekezo”) .... [emoji118][emoji118][emoji118]statement yako hapo imenifanya nirudie kuisoma tena hiyo “barua ya kisheria “ kwa mara ya pili!!

Bado sijaona uhalali wake!

“AMRI na MAELEKEZO kutoka kwa nani hasa kwa mujibu wa sheria na taratibu + katiba ya nchi ya Tanzania??

#MwananchiHuru.
 
Rudi burigi ukachunge ng'ombe wewe acha kubwabwaja huu mwaka upepo utapuliza tutaona nyeti za kuku hadi utumbo nyambafu mnatesa watu mkadhani kwasababu hamtoki nje ya nchi mkajua watu wote ni washamba siyo? kaa mkao utapiga sana kelele lakini kila hila mwaka huu itakuwa wazi na taarifa zinatoka hukohuko zikiwa na moto hazija poa ndo ujue hata waliomo ndani hawautaki upuuzi mnaoufanya.
 
P
Hivi unaamini Kuna mhimili wa mahakama Tanzania?
Mihimili yote imeungana na kuwa mmoja au imekufa umebaki mmoja
Haiwezi kusambaratika kama mnavyotaka ninyi..hii yote inategemeana, ni lazima iwe pamoja.
 
Magu hawezi kujibu HOJA za Lisu, kipi anaweza kujibu? Amiri Jeshi Mkuu miaka 3 vyombo vyako vya ulinzi na usalama vimeshindwa kupata ufumbuzi wa a daylight attack! Kipi JPM atajibu! Mwanyika mlimkuta na hatia ya uhujumu uchumi kuwa ameshirikiana na BARRICK, either kwenda jela miezi 4 au kulipa 1.5 bilioni chini ya utaratibu wa DPP, leo mmempa nafasi ya kugombea Ubunge, kipi JPM ataweza kujibu?!

Rais wetu anatatizo la 'kukurupuka', hana moyo wa kukabiliana na HOJA ni mtu wa visasi na malipizo.
 
Umeandika vizuri kweli mpaka rahaa wao wanafikiri mahakani ni lazima uende
 
Kwani akikutwa na kesi na akahukumiwa na kama amemaliza hukumu kuna tatizo akigombea nafasi yoyote.?

Vyombo vya ulinzi na usalama hata vikiwapa matokeo itasaidia nini wakati nyie mna majibu yenu tayari kichwani?
 
Hiyo barua wameiwasilisha ikulu tayari au taarifa za mitandao tu??
Unafikiri hata kama imeshawasilishwa ikulu itasema imepokea barua, subutu!! Ila hata kamtandao ka uwongo kangechapisha tz yaingia uchumi wa juu hata kama wanajua uhalisiana wa maisha yetu utasikia mapambia na vibwagizo juu.
 
Naona wauaji wa Lisu mnavyohaha na kuhangaishwa na laana ya roho mbaya hakika mmekwaa kisiki endeleeni kumpa nyangogo pongezi hewa.
Kisiki gani Sasa
Hyo barua ya kipuuzi
Tz NI nchi huru yenye sheria zake Wala haiwezi kuingiliwa
Endeleeen kujipa moyo magu amewakomesha na miaka mingine mitano yaja
 
Unafikiri hata kama imeshawasilishwa ikulu itasema imepokea barua, subutu!! Ila hata kamtandao ka uwongo kangechapisha tz yaingia uchumi wa juu hata kama wanajua uhalisiana wa maisha yetu utasikia mapambia na vibwagizo juu.
Sasa hiyo barua tutaaminije kama ya ukweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…