Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Hiyo barua ni kwa ajili ya mtu kama wewe usioweza kufikiri.

Tatizo lenu serikali ikisema itumie busara na kuachia tu watu wafanye mambo ata kama kinyume na sheria mnaanza kudai mnaogopwa sijui Amsterdam kasaidia etc with nonsense.

Wakichukua hatua mnaonewa ni shida tupu; ni mahakama gani kwa mfano huyo Amsterdam anaweza fungua kesi unadhani?
Unaijua sheria?
 
Nimeisoma hii barua mpaka mwisho...

Barua imeandikwa kiweledi haswa na imebeba amri na maelekezo....

Halafu inaeleza mambo ya ndani hasa kiasi cha mtu kujiuliza nani anawataarifu hawa kinachoendelea ktk corridor za usalama za Ikulu ya Magufuli?...

Ukisoma barua hii NENO kwa NENO utagundua kuwa, hawa watu wana dhamira ya kweli kwa njia zozote kumlinda mteja wao....

Na ni kama Amsterdam & Partners LLP ni waanzisha varangati tu, lakini watendaji halisi wako sehemu wala hawajapanua mdomo....

Kwa akina sisi, tumejua hata ambayo tulikuwa hatuyajui kwa kweli katika sakata hili....

Kumbe kesi yake ya "sedition - uchochezi" ya trh 26/8 imepangwa hiyo tarehe kwa makusudi kabisa na ndani yake kukiwa na nia ovu au "collusion" kati ya Ikulu (serikali), Mahakama na NEC...!!

Na kumbe pingamizi la "Ugombea Urais wa Tundu Lissu" tayari lipo, lilikwisha kuandaliwa siku nyingi.....

Na kwamba, siku hiyo hiyo atakayokuwa mahakamani, ndiyo siku hiyo hiyo atatakiwa na NEC kuja kujitetea kwa nini asiondolewe sifa za ugombea Urais kwa sababu watakazokuwa nazo waweka pingamizi wake....

Na huko mahakamani tarh 26/8 kumbe wamepanga kumuweka ndani (under detention) kwa siku kadhaa ili tu ashindwe kwenda kujitetea Dodoma kwenye NEC dhidi ya pingamizi lake, na muda uwe umekwisha kisha wanamwachia...

Baada ya muda kwisha wa kujitetea, NEC hawatakuwa na kizuizi tena kumwondoa ktk orodha ya wagombea kwa sababu watasema "hukuja kujitetea dhidi ya pingamizi lako"....

Loooh, huu ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha juu sana ambao mamlaka za serikali ya Tanzania zinafanya eti kwa sbb ya mtu mmoja anayeitwa - Magufuli....

Nyuma ya mpango huu kwa kweli hakuna sababu zozote za kutaka kumzuia Tundu Lissu kutumia haki yake ya kiraia ya kuchaguliwa. Ni kwa sababu tu Magufuli hataki changamoto, hataki ushindani na hususani ushindani wa mtu sampuli ya Lissu....!!

Need we say more?

Absolutely nothing!!

Mimi sina shaka kuwa, hili jaribio nalo tayari limeshashindwa vibaya sana....!!!
umeeleza vizuri
 
Wataita sherehe ya kuchukua form, Mwinyi, Sharif Hamad, Membe, Lissu na Lipumba wote wamefanya.

Tatizo mmoja anajua sana kaamua kuzunguka nchi nzima. Halafu NEC awajasema lolote mbona anajishtukia.

Ukitaka kuona kanuni ingia kwenye website ya NEC zipo published.
tuwekee moja so mbili alizovunja,maneno yasiwe mengi
 
Ujinga mtupu imeshindwa Marekani na WHO tuje tubabaishwe na kikampuni ucharwa. Tutawashughulikia wahuni tunavyojua sisi.
 
Ungewashauri wale waliompiga risasi hivi.

Kwamba kwanini walifanya?

Ungukuwa na maana Sana kuliko upumbavu ulioandika.

Rais wako ni Lissu utake usitake October.
Lisu kuwa Rais wa hii n hii ni ndoto nyevu, mtake msitake, lazima apigwe chini, msingizie ameibiwa
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC...
Naunga mkono hoja, wamwache uchaguzi upite maana tulishachafuka Sana kimataifa, hakuna haja ya kujichafua tena
 
Wacheni mikwara mbuzi yenu hakuna kosa ambalo limefanyika so far ku attract intervesion ya ICC.

by the way ni ngumu sana kumshitaki a sitting president.

rejea kesi ya Uhuru na Ruto
 
kumbe fikra pevu aliondoka nazo mw nyerere , why mnajitoa ufahamu kwa kuangalia leona sio kesho yako,eti kama niko utumwani niende nchi jirani , wasema kama vile unayo hatimilki na taifa , ahami mtu hapa na msituletee migogoro isiyo kua na kichwa wala miguu kutualibia taifaifa ,
Kumbe, sasa kelele za nini? tulia hapo dawa ikuingie mtanyooka mwaka huu
 
Hivi hao Amsterdam and partners LLP wanaweza kuwa na power kuliko taifa letu WATANZANIA? Mbona tunajihaibisha sana

Vipi ICC nao wana power ya kumkamata rais na kumuweka kizuizini kwenye jela zao? Tusubiri muda utaongea tu.
 
Hivi hao Amsterdam and partners LLP wanaweza kuwa na power kuliko taifa letu WATANZANIA? Mbona tunajihaibisha sana
Hawawezi kabisa nchi yako ina power Sana. Wanachofanya ni kuifahamisha dunia kile kinachoendelea. Dunia itajua yote anayofanyiwa Lissu baada ya zoezi la kutaka kuuliwa na Serikali ya Magufuli kushindikana.
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC...
Unajua ni nani yuko nyuma ya Amsterdam? Kwa maarifa zaidi jipatie nakala yako ya Kabla ya mtu kulikuwa na mtu
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC...
Ushabiki ni upofu.
Binafsi kabisa huwa narudia sipendi mtu aonewe wala kufanyiwa madhara ya Mwili au uhai kama yaliyompata TL.
Pia natamani fairnesss kwenye uchaguzi. Lakini hii haipo kama katiba iliyopo haijawa amended.

Naamini Upinzani wa Tz ni wa kinjaa njaa tu wanisamehe kwa maana kuwa kama walikubali kuingia uchaguzi na Katiba hii wakubali matokeo kwa mujibu wa katiba pia.

Hii ya kutafuta raia waingie mtaani kuwatafutia vyeo HAIPO. Pia hii ya kutafuta nchi za kigeni kukutafutia cheo lazima utalipa sio wajinga wakuweke madarakani halafu hakuna faida. Waulize Israel ilipokuwa inahamisha raia wake wa Kiethiopia ilikuwa tayari kula dili na serkali za Sudani na Ethiopia chini ya Mosaad.

Naelewa kuwa ukiacha ushabiki wa uccm na ucdm hakuna nchi iliyo na mamlaka kushinikiza nchi nyingine wala hizo law firms, hii barua sio ya kwanza hata hao Human right waliandika, Ubunge la dunia (whatever) waliandika.

Nijuacho ni kuwa jumuia za Mataifa yanayotaka benefit kupitia uasi na migogoro watatumia intelligency secret securities kuandaa waasi ndani ya nchi kuwa fainancy, kuwapa training , silaha na yanayofafanana.
Labda hilo ndio ajenda kuu.

Nadhani hatujachelewa kama raia wema kutoa taarifa sahihi hata kwa hizo system zetu ambazo zinaonekana kuwa ni ccm agents kwa wanaosema hivyo, bado naamini ktk Jwtz security system hawa sio wanasiasa kabisa. Hata hivyo ingekuwa mimi bora nisiwe madarakani huku nchi ikiingia kwenye vurugu. Sio uoga.

Ningekywa tayari hata ku step down. Sio Aibu.

Lakini ningekuwa mkali kulinda haki, kweli ,rasilimali, uhai na utaifa ya Tz hata kama lolote.


Mungu wabariki wagombea wetu wote.
Roho ya utaifa, pasipo kununuliwa iwe juu yao.
 
"Punguza sauti kidogo"
hapo vipi
500_F_217388111_tuWiBbmRz4TfOjhNAix3mAIQ6gpHR4cA.jpg
 
Back
Top Bottom