Nigeria hiyo miaka ikapita, demokrasia ili rejea?!Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Impact za hizo jumuiya ni ndogo sana. Chaguzi hizi zimekuwepo na yaliyofanyika siyo mageni. Wataongea wiki moja maisha yataendeleaKwanini mlitaka kumtoa Zitto roho alipo lobby kuhusu pesa ya mfuko wa elimu?
Kateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
I totally agree with you.Nigeria hiyo miaka ikapita, demokrasia ili rejea?!
Hiyo siyo dawa, ang'olewe aliye leta tatizo.
Huwezi kuhukumu wasio husika, tatizo liletwe na mtu mmoja athari tupate wote?!
Yule rais wa Malawi alipostukia mlicho muitia aligeuza faster.Impact za hizo jumuiya ni ndogo sana. Chaguzi hizi zimekuwepo na yaliyofanyika siyo mageni. Wataongea wiki moja maisha yataendelea
Asiwasumbue huyo, tumejipanga kumjibu kila atakakokwenda, tutasimama naye kila pahala
Tutamwambia kuwa, mfumo wa siasa za kimagharibi zimetushinda tangu tulipoamua kuwa na siasa za tofauti Kabisa na Dunia yote kwenye tukio la korona
Tunataka direct measures kwa wahusika, tunaambiwa hukumu ni fundisho kwa mkosaji ajutie kosa.I totally agree with you.
Ndiyo silaha yenu iliyobaki watz wamewakataa.Kateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
Hii ngoma bado mbich, hata mwenyewe hana hamu hata na hicho kiapo.Tunataka direct measures kwa wahusika, tunaambiwa hukumu ni fundisho kwa mkosaji ajutie kosa.
Ang'olewe kwa mabavu kama alivyoingia, msumari hutokea ulipoingilia.
Hatutaki vikwazo kwa Tanzania, ang'olewe yeye muhusika na kikudi chake, na atupwe huko kunakohusika, sisi tuachwe tuendelee na maisha yetu.
Tutakung'oa kwanza wewe!Tunataka direct measures kwa wahusika, tunaambiwa hukumu ni fundisho kwa mkosaji ajutie kosa.
Ang'olewe kwa mabavu kama alivyoingia, msumari hutokea ulipoingilia.
Hatutaki vikwazo kwa Tanzania, ang'olewe yeye muhusika na kikudi chake, na atupwe huko kunakohusika, sisi tuachwe tuendelee na maisha yetu.
Aape kwa nani tena, unapokuwa juu ya sheria kiapo kina maana gani?!Hii ngoma bado mbich, hata mwenyewe hana hamu hata na hicho kiapo.
Hahaha hata yeye tuta mng'oa tu.Tutakung'oa kwanza wewe!
Mtaendelea kusema hivyo hivyo. Mlisema mtashinda sasa mmeangukia pua.Hii ngoma bado mbich, hata mwenyewe hana hamu hata na hicho kiapo.
Huna uwezo huo wewe utopolo.Hahaha hata yeye tuta mng'oa tu.
Ni swala la Muda tu. Na atapata shida sanaa.
Hahaha utaona nitakachokifanya,nitakutafuta hapa kukukumbusha.Huna uwezo huo wewe utopolo.
Mkuu acha uwongo, darasani aliyekuwa anakuongoza ulishawahi kumshinda? Au ndio kama ulivyosema KAMA NINGE ....Huyu jamaa mm ningekuwa nimesomea sheria ninge deal naye mwenyewe. Maana inaonyesha elimu yake ni ndogo mnoo, lkn anajidai kwelikweli.
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani, uchaguzi huru na wa haki unakujaHawa ndo chadema, ni heri imefutiliwa mbali
Wewe ndiyo umejikomesha kwani haifiki hata miezi miwili lazima uchaguzi ufanyikeTumewakomesha wajinga nyie mrudie tena 2025 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]