Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Nigeria hiyo miaka ikapita, demokrasia ili rejea?!
Hiyo siyo dawa, ang'olewe aliye leta tatizo.

Huwezi kuhukumu wasio husika, tatizo liletwe na mtu mmoja athari tupate wote?!
 
Kwanini mlitaka kumtoa Zitto roho alipo lobby kuhusu pesa ya mfuko wa elimu?
Impact za hizo jumuiya ni ndogo sana. Chaguzi hizi zimekuwepo na yaliyofanyika siyo mageni. Wataongea wiki moja maisha yataendelea
 
Itakuwa ni kilio cha kusaga meno kwani kutakuwa hakuna jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikali ili kupunguza wafanyakazi wengi kuweza kumudu gharama za uendeshaji Serikali.
Kateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
 
Nigeria hiyo miaka ikapita, demokrasia ili rejea?!
Hiyo siyo dawa, ang'olewe aliye leta tatizo.

Huwezi kuhukumu wasio husika, tatizo liletwe na mtu mmoja athari tupate wote?!
I totally agree with you.
 
Impact za hizo jumuiya ni ndogo sana. Chaguzi hizi zimekuwepo na yaliyofanyika siyo mageni. Wataongea wiki moja maisha yataendelea
Yule rais wa Malawi alipostukia mlicho muitia aligeuza faster.
 
Asiwasumbue huyo, tumejipanga kumjibu kila atakakokwenda, tutasimama naye kila pahala

Tutamwambia kuwa, mfumo wa siasa za kimagharibi zimetushinda tangu tulipoamua kuwa na siasa za tofauti Kabisa na Dunia yote kwenye tukio la korona
 
I totally agree with you.
Tunataka direct measures kwa wahusika, tunaambiwa hukumu ni fundisho kwa mkosaji ajutie kosa.

Ang'olewe kwa mabavu kama alivyoingia, msumari hutokea ulipoingilia.

Hatutaki vikwazo kwa Tanzania, ang'olewe yeye muhusika na kikudi chake, na atupwe huko kunakohusika, sisi tuachwe tuendelee na maisha yetu.
 
Hii ngoma bado mbich, hata mwenyewe hana hamu hata na hicho kiapo.
 
Tutakung'oa kwanza wewe!
 
Hii ngoma bado mbich, hata mwenyewe hana hamu hata na hicho kiapo.
Aape kwa nani tena, unapokuwa juu ya sheria kiapo kina maana gani?!

Unaapa nini wakati mamlaka yote unakuwa nayo wewe?!

Wataapishwa vibaraka wake kulinda allegiance au royalty kwake, yeye anaapa wapi na kwa nani ili iweje?!

Naweza kukubali malaika wakiapa kwa Mungu, lakini siyo Mungu aape kwa malaika.
 
Huyu jamaa mm ningekuwa nimesomea sheria ninge deal naye mwenyewe. Maana inaonyesha elimu yake ni ndogo mnoo, lkn anajidai kwelikweli.
Mkuu acha uwongo, darasani aliyekuwa anakuongoza ulishawahi kumshinda? Au ndio kama ulivyosema KAMA NINGE ....
 
Back
Top Bottom