Kichapo kipi? Uchaguzi upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniKichapo Cha shoga mwizi Kiko pale pale. Hata mtukane baba zenu uchaguzi tayari subirini 2025.
Umeacha historia ya kula kamasiShule zote nilizopita nimeacha historia ambayo haiwezi kufutika.
Labda ndotoni maana sio kwa akili hiziHivi wewe umewahi kupigiwa simu na mkuu wa college yako chuoni ulikokuwa unasoma? Mimi nimewahi kupigiwa simu na mkuu wa college fulani mara baada ya, kufanya mtihani fulani wa UE na wenzangu nina 100 anayefuata ana 80.
Akafilie mbali huyo gabacholi! Watanzania wanaojitambua wameshaamua!!!!Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani, uchaguzi huru na wa haki unakuja
Id yako mkuu! Hahahaha!kilichopitishwa mbinguni hakiwezi kataliwa duniani
Lissu kashindwa Kwa sababu mwongo mwongo mara alitaka lockdown mara alitaka ushoga, pia watanzania wakastuka mgombea gani analetwaga Na Robert wa wamarekani!?
Jiwe litaishi vzr tu tena maisha ya tabaka la juu zaidi..ila me nawewe ndio tutaumia...Yani nikiona dua ya wapinzani imepata jawabu,siwezi rudi tz tena.Hamjui mlitendaloKateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
Matokeo yao mchakamchaka wameenda wao...wanalia tuu hakuna wa kuwafuta machozi.Tundu Lissu wapeleke mchaka mchaka [emoji23]
Wata vuna walicho panda soon as possibleView attachment 1616057
Kazi inaendelea matamko tu
Haa haaa haaa. AYATOLLAH TUNDU AMSTERDAMWakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Raslimali gani unazo wewe pimbi wakati kichwani umeweka kamasi? Stick za kuchomea mishikaki tu unaagiza kutoka kwa mabeberu wakati mbao zipo kibao hapo Iringa. Jaribu kuficha ujinga wako kidogo, husidhani maendeleo yanakuja kwa kuwa na raslimali bila maarifa!Wewe mama ni mgogo nini?? Unapenda msaada sana. Hata wanao unawahimiza wawe tegemezi namna hiyo kwa kila rasilimali tulizonazo hatustahili kabisa kusaidiwa ni basi tumekua na tamaduni za kishenzi kila kitu kuombaomba wakati rasilimali tunazo emu wahimize vijana wafanye kazi tuondokane na hulka za kipumbavu za kuomba omba
Isikusumbue; Uingereza uchumi wake uko hoi bin taaban, huwa hakuna kitu kinaitwa ruzuku kwa kuwa mwanachama wa jumuia ya madola. Halafu kwa nini tujenge tabia ya kutegemea vya bure namna hii. Magufuli kaonyesha inawezekana kununua ndege bila kupewa misaada; kuna mengi tunaweza kufanya bila msaada tukisimamia raslimali zetu vizuri.Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Kwa hiyo ule umati nao ulikuwa ni mtandao? Jinga kweli wewe,Hao ndo waliomdanganya Lissu.
Hizi ni porojo za walioshindwa mbinu na ccmYule rais wa Malawi alipostukia mlicho muitia aligeuza faster.
Mungu ana njia nyingi. Mambo bado!!Watumishi wa serikali sahauni nyongeza ya mshahara na wanafunzi malipo ya mkopo wa elimu yatapabsa