Usipowajua watanzania watakupa shida sana
Unaweza kudhani ukimya wa watanzania ni sababu ya ujinga kama hujui vile wanaweza kukupuuza hadi ukajuta kuwafahamu. Bobu na Tundu wake wamepuuzwa.... , walisikika wakisema "huyu anatuletea habari za wazungu kila siku wakati sisi rais wetu hajaenda ulaya tangu tumemchagua na maendeleo tunapata, hata hapo kenya sijui kama ameenda"😀 hao ndio watz
Ila John Pombe Magufuli anawajua watu wake na anawapa kile wanachopenda. Watanzania wameamua kwenda na John Pombe Magufuli