Kasome sheria za nchi ndio utaelewa kuwa wewe ni mjinga.
Amri kuu ni sheria kuu.
Mfano sheria isemayo; usiibe.
Hiyo ndio sheria kuu lakini zipo sheria zinazofafanua sheria hiyo.
Mfano, usisogeze mpaka WA jirani yako. Huo ni wizi.
Usidhulumu, zote hizo ni sheria zilizotolewa kwenye sheria kuu ya usione.
Usizini ni sheria kuu. Ambayo ndani yake kuna sheria nyingi;
Mfano, usilale na binti au kijana wako.
Usilale na Mwanaume Kama ulalavyo na Mwanaume mwenzako.
Usilale na Mwanamke kama ulalavyo na Mwanamke mwenzako.
Usilawiti wala kufira.
Usilale na Mama Mkwe au Baba Mkwe n.k.
Sawa Mdada mwembamba mweusi usiye na Nyama uliyechanganywa na ulimbukeni