Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 386
- 514
Haki kupumuliana we ulisikia wapi binafsi naonaga hao sio binadamu kwani wamevuka mipaka ya binadamu na kuingilia ushetani mungu aliumba jinsi mbili tofauti alitambua kua kiume inaenda na kike inakuaje iwe kike na kike kiume na kiume na wawe wanadamu hao hao ni mashetani mtu anae ua hukumu yake ni kifoooo na wanaobadilisha tamaduni za binadamu na kuleta sera zakipuuzi kama hizo kwangu mimi naona kifo ni sawa atuwezi kuishi na ushetani huo waajabuHatutetei hivyo vitendo vya ushoga kwasababu wahanga wakubwa katika jamii ni watoto wetu wenyewe na pia mila zetu na dini zetu haziruhusu. Tunachotetea ni kuwa naye ni binaadamu tuheshimu hisia zake mwisho wa siku kila mtu atahukumiwa kadiri ya matendo yake hapa duniani. Sana ukimuua ndio utakuwa umemaliza tatizo la ushoga kwenye jamii. makaveli10