Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Unaizungumzia China nchi iliyoendelea kiuchumi na ni wachapa kazi.China ukila rusha adhabu ni kifo na ndicho kinachofanya rushwa kuwa chache mno fanya ndo waseme sasa kula rusha ni demokrasia [emoji1787][emoji1787] uone balaa ni sawa na wapuuzi wanaoaminisha kua me na me ni sawa na ke na ke haina shida ni sawa maana yao ni kueneza hayo mambo ya kishetani mimi naamini na nazidi kuamini kifo ni bora kwao
Sie tuliozoea misaada kwa masharti fulani fulani ni lazima tukubaliane na wenye dunia yao. Mtabana mwisho mtalegeza