Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Tafuta hela BLOOO
Hakuna uhusiano WA pesa na ushoga.
Ushoga hutokea kwenye familia ambazo wanaume wameshaanguka hasa Baba.
Alichofanya huyo Mzee ni kuua direct Ila kwangu huyo ningemuua indirect way wala watu wasingejua.
Mwanangu WA kiume hawezi kuwa shoga ningali hai alafu aka-survive hilo wala sio la kuficha bila kujali nguvu yoyote ya upinzani