Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Wakati Wadogo zake wakijifunza kua Baba ni Mnyama kwenye hilo suala wewe utakua wapi??Kwanza mwanangu anavyonijua najua hawezi kujaribu kumleta hata pale mtaani maana kabla ya kumuua nitamchuna ngozi ni iweke mbele ya mlango wadogo zake wajifunze kua baba ni myama kwenye ilo swala.
Na ukifa Mungu wako atakupeleka wapi?