Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Mapenzi bwana.

Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.

Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea binti huyo kushindwa kupumua vizuri na kupelekea mshituko kwenye uti wa mgongo ambao mwisho wa siku binti huyo akapata stroke pale pale.

Juma alisema yeye dhamira yake ilikuwa kuifikia G-SPOT ya mpenzi wake huyo na hakujua kama kumkunja vile mpenzi wake kungepelekea kushtua pingiri za uti wa mgongo.

Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.

Daaah balaa tupu.
 
Ya moto sana
tapatalk_1670163878863.jpeg
 
Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.

Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea binti huyo kushindwa kupumua vizuri na kupelekea mshituko kwenye uti wa mgongo ambao mwisho wa siku binti huyo akapata stroke pale pale.
Unataka kusema binti anaitwa Kuruthumu!!

Safari hii alikuwa na Elizabeth
 
Uwasilishaji wa mleta mada unachekesha Sana.

Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom