Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Hii ni kama Chai hivi ya Tangawizi😂

Anyways,

Hivi si Kuna Wanawake huwa wanalalamika kuwa Vijana hawana nguvu za Kiume, kwamba Wazee kwa kimoja chali, Sasa kwa gwaride hilo hizo nguvu zimetoka wapi?🤪🤪
 
Hii chai ni ya kahawa, tangawizi kali, pilipili kichaa, mdalasini, maziwa, pilipili manga na ndimu kwa mbali nani ya moto sana
 
Mleta mada uongo unakusaidia kitu gani??
Acha hizo aisee huoni mavuzi yamejaa huko chini!!??
 
Hii ni kama Chai hivi ya Tangawizi[emoji23]

Anyways,

Hivi si Kuna Wanawake huwa wanalalamika kuwa Vijana hawana nguvu za Kiume, kwamba Wazee kwa kimoja chali, Sasa kwa gwaride hilo hizo nguvu zimetoka wapi?[emoji2957][emoji2957]
Anarudi saa nane usiku kumbe anamkwepa mkewe akute kalala, asubuhi mapema kumi na moja eti nawahi kazini[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Utakuwa uliivuta bila kunuia vizuri ndiyo maana unaropoka ropoka tu
 
Viungo vimekolea sana
 

Attachments

  • FZEqqGGXwAAyCo1.jpeg
    FZEqqGGXwAAyCo1.jpeg
    21.6 KB · Views: 8
Anarudi saa nane usiku kumbe anamkwepa mkewe akute kalala, asubuhi mapema kumi na moja eti nawahi kazini[emoji14][emoji14][emoji14]
Siamini kama wapo wa hivyo 😂

Hata kama Mko busy unazima simu Jumamosi na Jumapili mnabaki nyumbani kwaajili ya Kukumbushia enzi, hadi Mamaa aseme kwani umenipakia Mkongo 🤗🏃🏃
 
Hii kitu ni real kabisa kuna mahali kenya nilienda nikakuta mama mmoja anatembea kama bibi kizee nikauliza vp alipata ajali au nikaambiwa alitembezewa bakora akaamkia hospitali nusura aende kwa mola.

N.B:Kuna wakuna nazi wanatumia nyundo.
 
Siamini kama wapo wa hivyo [emoji23]

Hata kama Mko busy unazima simu Jumamosi na Jumapili mnabaki nyumbani kwaajili ya Kukumbushia enzi, hadi Mamaa aseme kwani umenipakia Mkongo [emoji847][emoji125][emoji125]
Anatafuta sababu tu yakutokomea tu , naenda hapo maramoja ,hiyo maramoja nisaa 4 usiku [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom