Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Story za sikukuu sioHaha
Hii itakuwa ya kutunga 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story za sikukuu sioHaha
Hii itakuwa ya kutunga 😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ya moto sanaView attachment 2458500
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwasilishaji wa mleta mada unachekesha Sana.
Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu umeongea kinyume huwa wanapenda Vijana Kwakuwa damu changa inachemkaaaa yani nguvu kama zote! Wazee ndio kimoja chaliHii ni kama Chai hivi ya Tangawizi😂
Anyways,
Hivi si Kuna Wanawake huwa wanalalamika kuwa Vijana hawana nguvu za Kiume, kwamba Wazee kwa kimoja chali, Sasa kwa gwaride hilo hizo nguvu zimetoka wapi?🤪🤪
Hahaha...............nguvu hadi kuvunjana mgongo?Mkuu umeongea kinyume huwa wanapenda Vijana Kwakuwa damu changa inachemkaaaa yani nguvu kama zote! Wazee ndio kimoja chali
🤣Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja
KabisaStory za sikukuu sio
BORA
Hapana sio nguvu hio ya kuvunjana mgongo aisee ukute huyo mwanaume alikua mcheza mieleka😁😁😁!!Hahaha...............nguvu hadi kuvunjana mgongo?
Hapo mnakuwa hamuinjoi mapenzi Sasa kama mnavunjana na migongo 😂
Ngoja tusubiri ipoeYa moto sanaView attachment 2458500
Hayo mambo yapo kwa vijana zaidi 🤪🤪Hapana sio nguvu hio ya kuvunjana mgongo aisee ukute huyo mwanaume alikua mcheza mieleka😁😁😁!!
Spinal cord ni hatari sana na muhimu sana ukipata hitilafu kidogo tu ndio unakua kilema hivo kwani inacontrol movement yote ya mwili!
Kwahio mkuu nawewe hutumia madawa ili uende round nyingi na u last longer???Hayo mambo yapo kwa vijana zaidi 🤪🤪
Ila lengo la tendo lenyewe ilikuwa kuzaana tu. Binadamu ndiyo tumegeuza kuwa ni starehe hadi kufikia stage tunatumia Madawa artificial kuweza kwenda round nyingi au ku last longer.
Wakati ingekuwa ni kukamilisha lengo la kuzaana manake hata kama una fika mshindo baada ya dakika 1 kama ni mimba inatungwa vizuri tu 🙈🏃🏃