Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Anatafuta sababu tu yakutokomea tu , naenda hapo maramoja ,hiyo maramoja nisaa 4 usiku [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Me bado siamini kama wapo wa hivyo

Kuna mahali nimekusoma, unajua namna ya kumteka asiondoke. Ina maana kwa huyo mbinu za kumfanya asitoke zimeshindikana?

Hata za kuloweka nguo zote weekend?🏃🏃🏃
 
Me bado siamini kama wapo wa hivyo

Kuna mahali nimekusoma, unajua namna ya kumteka asiondoke. Ina maana kwa huyo mbinu za kumfanya asitoke zimeshindikana?

Hata za kuloweka nguo zote weekend?[emoji125][emoji125][emoji125]
Ha ha ha ha anaweza toka na kitenge [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aroo hii chai inaweza kuunguza mpaka maini ukimesa kichwakichwa bila kutumia mbinu za kimedani za wala vya moto shughulini.
 
Mapenzi bwana.

Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.

Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea binti huyo kushindwa kupumua vizuri na kupelekea mshituko kwenye uti wa mgongo ambao mwisho wa siku binti huyo akapata stroke pale pale.

Juma alisema yeye dhamira yake ilikuwa kuifikia G-SPOT ya mpenzi wake huyo na hakujua kama kumkunja vile mpenzi wake kungepelekea kushtua pingiri za uti wa mgongo.

Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.

Daaah balaa tupu.
mzabzab
 
Eeeeh Aroevera baba
FB_IMG_16678586200829047.jpg
 
Ngoja uelekezwe G Spot ilipo, ila umetumia hekma nyingi sana kuomba masaada.
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ma ni na
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]juma kisauti fala kwel na hajui mapenzi
 
"Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo"

Kitu kimelia koo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom