An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

Inawezekana kaja kivingine baada ya mkataba wake kuwa terminated kwa kushindwa kuwezesha ushindi katika vita ile ya against nyaturu Tundu boy...

Usishangae pengine akawa ndio miongoni mwa hawa Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah au Dr wa Manesi au Troll JF au akawa na miongoni mwa Chawa wengi humu
 

I can say for sure, DOUBLE SURE, johnthebaptist alikuwa yule wa BACU
 
Labda ndiye Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…