An imaginary terrible situation: CRDB nimekutana na mtu analia ameshindwa kutoa pesa kufanya dialysis

An imaginary terrible situation: CRDB nimekutana na mtu analia ameshindwa kutoa pesa kufanya dialysis

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela!

Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
 
Kila siku kumsifia yule CEO ila hao jamaa wamekuwa hovyo sana ,kwanza wamenifanyia ushengi wale tellers ; wananipa zile 5k ukija kuhesabu baadaye kuna upungufu hazitimii.


Siku nyingine unashangaa tu wameondoka na 10k na wala kwenye statement hauoni .
 
Ujinga tu wa mambo ya hovyo ya hii nchi, mtu na Pesa zake Bado manyanyaso
 
Si imesemwa hisa zake bei juu!? Nini Sasa kimewakuta!?
 
Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela!

Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
Lakini walitoa taarifa mapema sema huenda haikuwafikia wengi. Mimi niliona taarifa yao
 
Walitoa taarifa ya kufanya maboresho ila huduma ya kutoa pesa kupitia ATM na simbaking walisema zitaendelea kufanya kazi kama kawaida. Jambo la kusikitisha ni kwamba huduma zote kwenye ATM na simbaking nazo wamesitisha Hadi tarehe 8.....
 
Back
Top Bottom