Kila siku kumsifia yule CEO ila hao jamaa wamekuwa hovyo sana ,kwanza wamenifanyia ushengi wale tellers ; wananipa zile 5k ukija kuhesabu baadaye kuna upungufu hazitimii.
Siku nyingine unashangaa tu wameondoka na 10k na wala kwenye statement hauoni .
Walitoa taarifa ya kufanya maboresho ila huduma ya kutoa pesa kupitia ATM na simbaking walisema zitaendelea kufanya kazi kama kawaida. Jambo la kusikitisha ni kwamba huduma zote kwenye ATM na simbaking nazo wamesitisha Hadi tarehe 8.....