Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Yes, HILI NI TATIZO, HII NI HOJA YA MSINGI.

Tar 20 tulikuwa na mjadala mpana SINGIDA, TATIZO HILI LINAWEZA KUPUNGUA KWA KUWEKEZA KWENYE MODERNIZATION OF PRODUCTION PRICESS MIKOANI KWETU, ILI SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZITOE FAIDA ZINAZOLIPA HIVYO ZITENGENEZE AJIRA. HIVYO TULIKUWA NA RCC. TULICHAKATA SANA.

BUT AJIRA NI TATIZO NA NI MAADA PANA SANA, HAINA JIBU MOJA
Ajira ni "maada" pana sana...

Nijuavyo mimi nisiye na PhD ni kuwa...Maada ni kitu chochote chenye uzito, ujazo na kinachochukua nafasi...

Anyway turudi kwenye mada mheshimiwa Rais wa Tanzania 2015.

Komredi Nyani Ngabu kheri ya mwaka mpya mwanaVETA mwenzangu
 
Huna lolote! Maovu yote uliyowafanyia watanzania damu zao zinakulilia popote ulipo ndiyo maana unawayawaya kama mtetea aliyekosa pakutagia.

By the way lini utapeleka ushahidi wako kule mbinguni kama ulivyosema unao??

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anakumabia "hujui kitu njoo nikueleweshe" sasa kama kunakuelewesha si awaeleweshe Watanzania humuhumu, Kazi za kwenye giza huwa ni za shetani
 
Hivi ni kweli wewe ni Lameck Madelu?? Mwigulu Nchemba ni majina ya wasukuma na wewe ni mnyiramba/Mnyaturu... Hebu weka sawa hili suala

Mbona siku hizi sikuoni pande za Hongera Bar pale Sinza?? Ngalawa pale Kunduchi?? Je bado uko karibu na rafiki yako Ngaponda??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli wewe ni Lameck Madelu?? Mwigulu Nchemba ni majina ya wasukuma na wewe ni mnyiramba/Mnyaturu... Hebu weka sawa hili suala

Mbona siku hizi sikuoni pande za Hongera Bar pale Sinza?? Ngalawa pale Kunduchi?? Je bado uko karibu na rafiki yako Ngaponda??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera? Huwa sinywi pombe unanikutaje bar. 😄😄😄😄😄😄
 
Anataka Amben Sanane Nate huko pembeni ukizoea kula nyama za watu huwezi kuacha.
Mkuu akutafute vipi,wewe SI umesema ana kwa Ana hapa!Kiungwana jibu hivi;Hizo Ni top secret za Nchi zuwezi jibu hapa!

Ila Damu za yule kijana wa Ndago haita kuacha abadani; Ulishindwa hata kumuona Lissu baada ya madhila Yale!

Damu hizi zitakuandama Daima !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli unamuogopa Kilimba na Kitila na misiba ikitokea wao wakiwepo wewe hauendi kwenye hiyo misiba?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huna taarifa hata kidogo, fuatilia upate ukweli ndio uje uandike. Kama kawaida nadhani unatamani niishi kama mbwa koko. nikuhaikikishie watafute wenye taarifa wakwambie nani aliwasaidia walipokuwa na matatizo


Kwa upepo unavyoenda, bora ungeendelea kukaa kimya muntua.

Hapa utaibua mambo na kuchokoza watu wakaishia kutibua heshima yako iliyosalia kwa sasa.
 
Back
Top Bottom