Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ndugu yangu mpendwa Dr. Mwigulu Nchemba. Wewe ni mwenzetu toka siku nyingi. Sema tu kuna wakati fulani pepo lilikuingia ukawa mfia CCM wa kutupwa usijue kuwa kuna siku CCM itakuwa mikononi mwa dubu fulani. Naamini umejifunza mengi hadi hapo ulipofikia na kwa yaliyokukuta. Ila taarifa za koridoni ni kwamba hilo jimbo Jiwe kamwandaa mtu wake, yule unayemfahamu. Aliwahi kuwa upinzani kabla hajapewa vipande 30 vya Yuda.

Ila ushauri ni kwamba kama yanayozungumzwa ndio kweli basi tafadhali hakikisha unatubu na kumrudia Mungu kwa damu za watu zilizomwagika kwa amri yako au kwa kushiriki moja na moja. Halafu sielewi kwa nini ulijiingiza huko ambako wala hufanani nako kabisa! Wewe size yako ni utu wema, fadhili, upendo, na yanayofanana na hayo. Maisha yenyewe Dkt yako wapi? Mbona ni ya muda mfupi tu? Waachie akina Bashite wasiojua nini maana ya kuishi.

Asante Dkt.
 
Mimi ni Ilboru bro mwenzako. Ushauri wangu ni kwamba brand yako imekuwa damaged sana. Sababu kubwa ni kubwa hata wenzako wa CCM hawakuamini. Ungeweka msimamo wakati wa Lissu na kuwa muwazi zaidi na kutokuonekana au kutetea vitu ambavyo kila mwenye akili anaona watu wangekuheshimu hata kama ungefukuzwa uwaziri. Watanzania wengi wameshangazwa sana na jinsi ulivyoweka politics kwenye issue ya Lissu wakati Lissu ni mwana Ilboru mwenzako na ndugu yako wa Singida. Angalao ungeongea na kusema umesikitishwa na serikali yako. Huu uoga ndiyo sasa kila mtu anasema jamaa anafanya kila kitu kupata uongozi hivyo hata CCM wanakuogopa maana ubinadamu kwanza.
 
Ni wapi kuna maendeleo kwa sababu ya mbunge au diwani aliywpo? Ukikuta hivyo kwa kipindi hiki itakuwa ni coincidence na mipangilio ya serikali kuu. Kwa zama zile ilikuwa inawezekana ku diverge resources za nchi kwenda eneo la kwako na hasa kama una power. Vinginevyo mbunge ama diwani hana uwezo wa kufanya lolote la maana.
 
Hilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.

Akutafute wapi au unataka na yeye umpoteze[emoji15][emoji15][emoji15]!
Mjibu hapahapa kwa faida ya wengi.
Alafu na Mimi ninakaswali kwako hivi Yale mawe uliyo jiandika huwa ukiyaona unajihisi vp na fharama za uandishi ulitumia kiasi gani??!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini kama Mh Rais atakupa tena uwaziri yale yote maovu uliyokua ukifanya kwa kutumia vyombo vya dola uache na uwashauri wenzio wawe na hofu ya mungu kuna kesho na kuna maisha baada ya uwaziri na kuna maisha baada ya mauti.
 
Bavarian8

Hatujawahi kukataa uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Hata kwenye katiba mpya ilikuwa agenda. Wenezetu walikataa. Agenda ya tume huru ni pana
Mwigulu kaa kimya ndugu yangu we ndyo tegemeo letu 2025 nakumbuka wkt umetangaza nia ya kugombea urais ulisema Sisi wafanyakazi utajari Maslah yetu ww unaamini ktk maendeleo ya watu na si vitu tunakuamini viva mwigulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi kuhusu jina hapo Iramba, litarudi kweli?
 
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Mayu kitu gani utawaambia watu wa Iramba kwenye kampeni za mwaka huu? kwani hakuna chochote ulichowafanyia katika zile ahadi zako ulizowaahidi nakatika kukuthibitishia hilo ine nikikala kuushora niyona araia mateso na akumapata kutokana ne ulongo wako
 
@Mwigulu,Ni kitu gani ulichokitenda ulipokuwa waziri wa mambo ya ndani na Naibu Katibu mkuu wa CCM ambacho unakijutia mpaka kufa kwako?
 
Fact kunawakati mtu unaweza waza vibaya sana na usitake hata kumiona mtu sura yake kwa matendo yake ktk jamii
 
shua mkuu
 
mkuu hizo hoja zako mbona kama unapambania kauteuzi. Asingehusika nadhani washukiwa wangekuwa wamekamatwa. Lissu Mwenyezi Mungu alimponya,siku yake ya kufa bado.
 
mkuu hizo hoja zako mbona kama unapambania kauteuzi. Asingehusika nadhani washukiwa wangekuwa wamekamatwa. Lissu Mwenyezi Mungu alimponya,siku yake ya kufa bado.
Unahangaika tu. Mwenzio alishakosa interest na post aliyoanzisha mwenyewe siku nyiiiiiiiiiiingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…