Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Maswali yangu.
Nani alimuua ALPHONSo mawazo? Nani alimshambulia tundu lisu? Nani alimteka ben sanane? Nani alimteka anzory gwanda, nani alimuua akwilin? Nani alimuua diwan wa hananasifu?
Ni hayo tu mh.mwigulu nchemba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetuangusha sana mheshimiwa, ukiwa Waziri wa Mambo ya Ndani kuna mambo ya ajabu sana yalikuwa yanaendelea hapa nchini, natumaini kuna siku watu wote waliouawa wataipata haki yao.
Mwacheni mbunge wetu, kwani hayo unayosema sasa hivi hayapo??? Ametoka kwenye uwaziri na hata sasa watu wanauawa na hata wasiojulikana bado hawajulikani pia. Tumtafute kiini cha tatizo letu.
 
"NI HESABU MBAYA SANA KUPAMBANA NA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI"
Mkuu Mhe. Mwigulu Nchemba, maadam wewe ni kada mzoefu wa CCM ambaye ni born and breed, unajua fika the determinant ya mgombea wa CCM sio kura za maoni za wana CCM!, huna sababu ya ya kutumia maneno ya mipasho ya kwenye kanga kutishia watu.

Kitu cha muhimu sana kwako kwa sasa Mhe. Mwigulu, ni kuendelea kujibu hoja kama hizi kule kwenye like bandiko lako hili
Zitakusafishia njia, na sio kujibu kimipasho humu.
Ni ushauri tuu!
P
 
Duuh, kumbe elimu ya msingi ni muhimu namna hii?? Ngoja nikachukue cheti changu aisee.
 
Mwigulu jimbo tunakutegemea sana
 
Jamaa yupo online anasoma tu maswali ila hawezi kuyajibu na hawa ndiyo wasomi wetu. Nchi hii inabahati mbaya sana kuhudumiwa na viongozi aina ya Mwigulu wanaweza kuwaita wandisi wa habari na kufunga press bila kurusu maswali.
 
Wana CCM wote ambao wanaonekana ni Presidential material ukiacha wa eneo fulani , wanafanyiwa political assasination ......sio bahati mbaya leo kuwa NAPE NAUYE, JANUARY MAKAMBA , MWIGULU NCHEMBA , EMMANUEL NCHIMBI na wengine wa aina hiyo wako mbali kabisa na pengine hawataibuka kabisa kisiasa .......
Hawa ni vijana wa ccm waliopikwa toka Chipukizi lakini leo wamekua watoto wa kufikia ........paka ukimfungia chumbani ukamchapa bila kumuachia njia ya kutokea anaweza kukudhuru........
Interaction za kisiasa kama hizi zinaendelea kuwaudhi wenye ccm "yao" siku hizi .
 


Wengine ni matokeo ya kuvuna yale ambayo waliyapanda!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajitaidi kuandika mawe! Mwaka wa kupambana na katibu wa maji huu😂😂
Lakini funzo la Corona ni kwamba kuna Mungu mkuu, nakuomba from now on, fanya siasa safi tu, na kutubu kimya kimya kama kuna “matope matope” kidogo ya siku za nyuma!
 
Hawa watu uliowaaanda kuja kufanya hiii Kazi ya kukushangilia, wanadai Hela zao, walipe
 
Sidhani kama Ana akili hiyo hivi sasa, subiri akiwa nje ya system ndio atakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…