Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

NAONESHA MSISITIZO πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„


Duh!

Nawe ni mbunge, 'msomi' mwenye PhD, na mtu uliyewahi kuwa waziri!!

Kazi ipo.

Mh. Waziri watu wana hasira walishachubuka mabega wanabeba maboksi. Muda siyo mrefu utawaona wanapiga hodi ofisini kwako maana sasa baada ya Corona inabidi hata zile za kubeba maboksi ziwe ni za wazawa!
Huyu mtu mimi huwa kila nikimlalamikia, watu wananiona nina dharau! Mafuta Shell kuanzia leo bei TZS 1500/= . Mara ya mwisho bei hii ilikuwepo mwaka 2009!. Huyu yeye hata haelewi hii ina maana gani kwake, halafu yeye anaanza kukashifu viongozi na the most learned!
 
Hii inaonyesha kabisa kuwa unajua kabisa kuwa akigombea lazima atashinda! Umefanya vizuri kumhakikishia hilo. Najua kama ungekuwa unajua kuwa akigombea atashindwa, ungemhamasisha aende kugombea ukiwa unajua kuwa hata akienda hana madhara kwa sababu hawezi kushinda
 
ila mwanangu umechomoa battery. Hebu tujibu ni kwanini mmeamua kupandisha kodi kwenye miamala? na mafuta pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....Karma
 
Mawazir wa bongi bwana wakitumbuliwa ndio utawaona humu

Uz huu baada ya kutumbuliwa na magu ndio akafungua

Mama akimtumbua utamuona humu

Muwe mnakuja hata mara Moja moja kujibu hoja ndugu mawazir tunamaswal mengi sna ya kuwahoji
 
Mwigulu na wana-ccm wenzako ninyi ni mashetani wenye mionekano ya kibinadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…