Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo uhusiano mkubwa wa ndoa na umaskini au mafanikio. Kama wewe ni masikini ukioa familia tajiri uwezekano wa kuagana na umaskini ni mkubwa, kama wewe ni masikini ukioa maskini mwenzako uwezekano wa kuondokana na umaskini unakuwa mdogo sana.Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya
Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
Naomba ufafanuzi uhusiano wa ndoa na mafanikioUpo uhusiano mkubwa wa ndoa na umaskini au mafanikio.
Inategemea wewe mwenyewe unatokea familia ya aina gani, kama unatokea familia maskini inayokutegemea halafu ukaoa mtu wa familia masikini kuna uwezekano mkubwa usipate mafanikio.Naomba ufafanuzi uhusiano wa ndoa na mafanikio
Fact Nimekuelewa sanaInategemea wewe mwenyewe unatokea familia ya aina gani, kama unatokea familia maskini inayokutegemea halafu ukaoa mtu wa familia masikini kuna uwezekano mkubwa usipate mafanikio.
Hakuna uhusiano wowote kati mafanikio na kuoa au kutokuoa.Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya
Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
Kwahiyo unataka kusema msukuma aliemuoa Deborah ameula?Upo uhusiano mkubwa wa ndoa na umaskini au mafanikio. Kama wewe ni masikini ukioa familia tajiri uwezekano wa kuagana na umaskini ni mkubwa, kama wewe ni masikini ukioa maskini mwenzako uwezekano wa kuondokana na umaskini unakuwa mdogo sana.
Kuna mambo kadhaa ukiona mtu ameanza kufanikiwa baada ya kuoa,Hakuna uhusiano wowote kati mafanikio na kuoa au kutokuoa.
Suala la kufanikiwa ni mtambuka sana.
Na ndio maana mtu anaweza akashindwa kufanikiwa akiwa bachela lakini baada ya kuoa mafanikio yake yakafunguka.
au mtu anaweza kufanikiwa akiwa bachera lakini baada ya kuoa akafrisika.
Au mtu anaweza kufanikiwa akiwa bachela lakini hata baada ya kuoa mafanikio yake akaendelea kuwa nayo.
Na mtu unaweza kushindwa kufanikiwa ukiwa bachela na bado hata baada ya ukaoa akaendelea kuwa masikini kama ulivyo kuwa kipindi uko bachela.
Mafanikio kwenye maisha huwa yanakuja kwa kutumia akili, juhudi, saa nyingine bahati, mafanikio hayaji kisa umeoa au kwa sababu uko single.
Hata ukioa masikini ambaye Ana rich Mindset?Upo uhusiano mkubwa wa ndoa na umaskini au mafanikio. Kama wewe ni masikini ukioa familia tajiri uwezekano wa kuagana na umaskini ni mkubwa, kama wewe ni masikini ukioa maskini mwenzako uwezekano wa kuondokana na umaskini unakuwa mdogo sana.
Naku follow kabisaHakuna uhusiano wowote kati mafanikio na kuoa au kutokuoa.