Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Acha ufala wewe kama huna mishe ya maana olewa naye hata kimya kimya.
 
Acha mbambamba hakufai uyo ujana wake amekula na mwingine nawe ujana wako anakula na ww kweli na πŸ˜‚pia hiyo ni aibu kwa jamii inayokuzunguka 23 to 46 uyo ni baba ako πŸ˜…bwana
 
Loh! Unataka uniharibie usichana wangu
Ww sasa ugaigai ww mwenyewe ndo unataka kuaribu usichana waki ukaolewe mtu 🀣mwenye miaka kama ya baba ako πŸ˜…ivi ndo penzi lako la kwanza nn πŸ˜…hisia zikakuambi wazee kama baba ako πŸ˜…wazuri
 
Fanya kinachokupa furaha mama, hamna formula kwnye maisha na uhai, unaweza kumuona mkubwa kwako na ukazaa mara 2 tu ukamuacha anadunda kama chuma cha reli na akaanza kusaka wadogo zaidi yako, ushauri utapewa wa kukaririwa tu hapa kama vile kuna standards zimeandikwa mahali, unaweza kukuta ndio mara ya mwisho kuombwa penzi sembuse ndoa, ukaiacha na ukasahaulika! Its all up to you...

NB: Hakuna mwanamke mdogo kwa mwanaume period, wanawake wote wanatangulia hata kama kazidiwa miaka 30!
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO.

Natafuta mwanamke wa kuoa.

Umri: miaka 35
Makazi: Dar es salaam
Kazi: Biashara

VIGEZO NA UZOEFU WA MKE NIMTAKAYE

Umri: usizidi miaka 34
Kazi: uwe na kazi, biashara, ukiwa mama wa nyumbani itakuwa vizuri.
Uzoefu: uwe na angalau miaka mitatu, hata ukiwa single mama poa, njoo na mtoto wako (zingatia, mtoto, na siyo watoto.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/06/2025, baada ya hapo zoezi la interview litaanza bila kuchelewa.

Mwisho: vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Talking from experience!! Umetisha!! Naliza lolo!!
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kila la kheri
 
Asante sana mkuu nitafanya maamuzi sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…