Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Kifupi sana.
Kama umempenda kutoka moyoni ingia mzima mzima na kama kakupenda na wewe ukampenda umri doesn't matter.

Ukiwa umeona kitu (kwake) nje ya ndoa yenu usiingie ni hatari huyo ni mtu mzima.

Kama una akili zitakazokupa uimara wa akili pale utakapopevuka kiutu uzima (on 28 - 35) ingia mazima, vinginevyo usichukulie simple kuna moto πŸ”₯ huku binti yangu.

MWISHO; Ongea na mamako akupe tips za kipindi cha miaka niliyotwja pale juu, kisha kaa kitandani kila siku (saa 8 usiku) tafakari kuhusu hii kitu, si mchezo binti.

NB: Mwanangu sikia mahusia yangu ili usije kuiona dunia chungu - C&C.
 
Asante mkuu nitatafakari kwa kina kabla sijachukua maamuzi
 
Binti Sayunii ulimkataa tajiri yetu Tajiri Sina BAYA leo unataka kuolewa na mzee kweli πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Harmful hii ni sawa kweli
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jandoni kuna Wimborne tuliimbiwa mstari wa mwinsho unasema 'Yote ni ya mungu wengine kula mtama wengine mpunga'
Ndiyo kitu kimempata rafiki yangu Binti Sayunii

Mkuu Harmful naomba utuletee ule wimbo msanii anasema "ni kama niliruka majivu na kukanyaga moto.. matusi na kunifedhehesha vikawa malip.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…