Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Naye anapanga kukuroga kabisa ili mkeo asije huko wala wewe usimkumbuke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mlikulana whaaaaaat??? Eti kichuri😃😃😃😃, hakuna namna bro....kubali hali tu ajifungue salama, mengine mbele kwa mbele
 
After sex, the situation of a man will be same as that of a murderer on what to do with the body lying next to him.
 
Uwiii mpaka mama mkwe anapiga vizinga, mnawatoaga wapi hao watu pole, na kama na mama mkwe yumo basi anahangaika huko balaa ili uingie njiakuu, acha kumpa mkweo pesa ambaye bado hujaoa mwanaye

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sasa utafanyaje, atakuganda huyo kama kunguni [emoji28][emoji28][emoji28], hapo ushaongeza single mother, basi oa huyo haraka lasivyo utajutia na huyo mzazi

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Siku nyingine uwe unatumia kondomu ghali inakuwa Haina tofauti na kavu bila hvo wanawake na watoto watakuua kwa stress au malibwata maana Kuna wanawake wakiona mtu Yuko vizuri wanaangalia child support
 
Ndo ukome [emoji13]na mimba za hivyo hazitokagi hata kwa dawa.... na mtafanana balaa na mwanao mtarajiwa,.woii
Yaani mimba dizaini hii kama ni zao la Kilimo basi ni ALIZETI, palizi moja tu lazima uvune ulichopanda! Sasa jamaa kapalilia zaidi ya mara mbili.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uwiii mpaka mama mkwe anapiga vizinga, mnawatoaga wapi hao watu pole, na kama na mama mkwe yumo basi anahangaika huko balaa ili uingie njiakuu, acha kumpa mkweo pesa ambaye bado hujaoa mwanaye

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
yani sioi kwanza nina mtu tayari ni kama amejilengesha coz anajuaga simpendagi so ametumia fursa, nikisema nisihudumie najikuta napata huruma ya damu yangu hata natamani ajifungue nichukue mtoto . mama ake si mama mkwe wangu niweke sawa, anapiga simu mno.
 
Wablock wote hao.
 
Sio kila mwanaume ana uwezo wa kupangua gia (gear )wengine uwezo wetu likija bao basi ndo unakandamiza hivyo vigezo vyako havitufai.Kwanza fikra zinahama waja kukumbuka waqt anakwambia ahsante baby wajistukia kumbe umeuza mechi umeloweka.
Mimi napenda wanaume makini Bora achepuke tu ila kuzaa zaa nje ni lack of self control nakukaribisha ugomvi na watoto wa nje. Nawaheshimu wanaume wasiotaka kuzaa hovyo na Wana ji control
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…