Boli linatembea
Member
- Dec 21, 2022
- 66
- 167
- Thread starter
- #21
Soma vzr mimi sipo TZAcha uzinzi zinaa inaua ulitaka beki 3 abaki anafanya nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vzr mimi sipo TZAcha uzinzi zinaa inaua ulitaka beki 3 abaki anafanya nini
Hayo ni mambo ya kuongea nae yeye,sio kuleta hapaAaah kwann hasikii? Na kama alikua ana maoni tofauti si angesema kuliko kunipiga counter attack
Soma vzr mimi sipo 🤣🤣🤣🤣
Watu kama hawa ndio wanafanya Wanaume tudharaulike,hivi wewe uko sawa kweli,au una shida ya afya akili?,jambo hilo ndio la kuleta hapa kweli,yaelekea hata kujamba mkeo umempa idadi ya kujamba kwa siku na asipotimiza utaleta hapa!
Wewe nae unanongwaa sasa msaidizi wa kazi si atamsaidia huko anapoenda kha mambo mengine madogo madogo unataka kuyakuzaa yawe hayooo..Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika, Ni hiv mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hiv mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka sasa huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye mfano likizo hii ta desemba nilimwambia asafiri na watoto tu,tukakubaliana matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu, ushauri tafadhali ana nini huyu?
Hivi hili ni deko au ni gubu?Ila watu wengine mnadeka sana
Acha kujiliza tawala familia yako ama toa namba yake usaidiwe toa maamuziHuyu beki tatu ni mpya wamekutana dar nilitaka amuache kwa mjomba na kila kitu nilishapanga na alisikia nikimwambia mjomba nia waende Arusha na Morogoro wakirud ndo wampitie waende nyumbani, kafanya tofauti anataka azunguke nae
Si anakuja kutudekea humu labda atabembelezwaHivi hili ni deko au ni gubu?
Make halina mvuto heri deko zina vijimvuto
Utakufa kwa Sukari na presha Wewe, kuna kitu unachotafuta sio bureHabari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.
Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.
Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.
Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.
Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
Ana gubu sa kusafiri pamoja na dada kuna shida gani, eti amuache kwa mjomba.....mxyuuuu akabakwe bakwe hukoSi anakuja kutudekea humu labda atabembelezwa
Atakua anamlia timing House girl amtafuneAna gubu sa kusafiri pamoja na dada kuna shida gani, eti amuache kwa mjomba.....mxyuuuu akabakwe bakwe huko
Uko Europe afu una akili mbovu kiasi hicho?si rahic niko Europe
Wewe una matatizo. Mambo ya beki 3 unayaingilia ili iweje? Akienda huko italeta athari gani hujaelezaHuyu beki tatu ni mpya wamekutana dar nilitaka amuache kwa mjomba na kila kitu nilishapanga na alisikia nikimwambia mjomba nia waende Arusha na Morogoro wakirud ndo wampitie waende nyumbani, kafanya tofauti anataka azunguke nae
Faza hausi from Europe anafatilia mambo ya housegirl wa morogoro.....huu ni UMAMAAtakua anamlia timing House girl amtafune