Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
IMG_5229.jpeg
 
Na Wilson Oruma mchambuzi nguli kufuatia Kocha wa Singida kwenda Yanga alikuwa na haya machache.

"Singida is the Branch of science which deals with the composition and decomposition of Matter"
Michepuko huimarisha yale mahusiano ya nyumba kubwa. Acha yanga iwe na branches nyingi iwezekanavyo. Na nyie mnaruhusiwa
 
Wanatuambia Said Kichwa kauzwa kwa dili nono ila hawatuambii huyo kocha wa Singida y Mwigulu kanunuliwa kwa dili gani?
 
Mbumbumbu fc na wote wa jamii iyo wakumbuke Aish Manula Aliachwa Azam akaenda Singida na Simba wakawaomba Singida wakamsajili.
Habib Kyombo alisajiliwa Singida, Simba wakawaomba Singida na wakapewa mchezaji.
Mbumbumbu fc wapunguze Shobo.

UNAKAZA MISHIPA KISA UPUMBAVU WA SIMBA NA YANGA.

UNASIKITISHA SANA!!!!!!
 
Makolo fc walimtangaza Awesu kuwa mchezaji wao mpya bila timu yake kuwa na taarifa.
 
Mbumbumbu fc na wote wa jamii iyo wakumbuke Aish Manula Aliachwa Azam akaenda Singida na Simba wakawaomba Singida wakamsajili.
Habib Kyombo alisajiliwa Singida, Simba wakawaomba Singida na wakapewa mchezaji.
Mbumbumbu fc wapunguze Shobo.
Kwahyo unataka kusema nini ndugu zuzu
 
Tunapowaambia kwa kiasi kikubwa Yanga anashinda kwa kupanga matokeo kutoka kwa THE GSMs clubs muwe mnaelewa
 
Back
Top Bottom