Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

Wachambuzi uchwara hawa, kwa hiyo wanataka kumaanisha pale ulaya Sporting Lisbon ya Ureno ni tawi la Man UTD????
Sporting walikubaliana na wakalipwa paundi milioni 50 kama fidia kutoka Man United.Unafikiri huu ujinga wa urafiki wa mshumaa unafanyika kwenye Nchi zenye kufuata weledi na sheria?.Tatizo ni mojawapo wa wadhamini wa Yanga ndio mmiliki wa Singida Black Stars.
 
Ndo tatizo la matawi. Kuna saa unasahau kuigiza kuwa nyinyi ni wapinzani.
 
Back
Top Bottom