Sporting walikubaliana na wakalipwa paundi milioni 50 kama fidia kutoka Man United.Unafikiri huu ujinga wa urafiki wa mshumaa unafanyika kwenye Nchi zenye kufuata weledi na sheria?.Tatizo ni mojawapo wa wadhamini wa Yanga ndio mmiliki wa Singida Black Stars.
Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tuView attachment 3225549