comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mliopo South Africa hembu fuatilieni hizi details kama zina ukweli.
Kwa msiomjua huyu jamaa mi Mrundi ashafanya kazi na wasanii wa Tanzania ni Promoter wa Muziki, ameanza kukemea hali inayoendelea tanzania kwasasa kwa takriban week chache zilizopita, na ashawahi kuishi Tanzania na ana connection pia Tanzania.