Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Wee mzee kumbe hata akili huna, waliopotea na kuuwawa unafikiri wanao suffer ni ng’ombe au familia zaoYa nini kule ni mkewe na wanae.
Mnaweza kukodi watekaji tu,ila sasa mkewe na wanae wanahusika vipi?
Mnashindwa kuwatafuta wale kwenye video hapo Mbezi Bar kwa mchepuko wake.
Mnataka mkaidhuru familia South?
Zero brain