comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Wavuta sigara wana juana kwa vilemba, umejuaje ata poteza ubingwa au na wewe usha upoteza ubingwa.Unautafuta ukiwete kwa nguvu zote kijana ukiongeza na kupoteza ubingwa kwa 3some na zaid
Kama umeshindwa kuelewa hapo, Sina msaada tena mkuuWavuta sigara wana juana kwa vilemba, umejuaje ata poteza ubingwa au na wewe usha upoteza ubingwa.
Sawa MunguUnautafuta ukiwete kwa nguvu zote kijana ukiongeza na kupoteza ubingwa kwa 3some na zaid
Kumbe hua ndio mnafanyia watu hivyo?Unautafuta ukiwete kwa nguvu zote kijana ukiongeza na kupoteza ubingwa kwa 3some na zaid
Mm sio Mungu nimefanya situation analysis na sifa za ulomtaja nimekuja n jibu hilo kama kuna sehemu nimekosea niambieSawa Mungu
Kwamfano hayo unayosema yakinitokea, wewe ,familia yako na ukoo wako mzima mtapata hasara yoyote?Mm sio Mungu nimefanya situation analysis na sifa za ulomtaja nimekuja n jibu hilo kama kuna sehemu nimekosea niambie
Una uhakika wewe ni dume kama unavyojinadiUnautafuta ukiwete kwa nguvu zote kijana ukiongeza na kupoteza ubingwa kwa 3some na zaid
Sipat hasara wala faida, wao ndo watapata faidaKwamfano hayo unayosema yakinitokea, wewe ,familia yako na ukoo wako mzima mtapata hasara yoyote?
Mm ni kidume haswa unataka nikupelekee moto?Una uhakika wewe ni dume kama unavyojinadi
Sema SISI, sio WAO.Sipat hasara wala faida, wao ndo watapata faida
Na mtavunjwa miguu kwel sio uongo, hamna mipango mnafanya mambo yenu kama mmekatwa vichwa ujinga na hisia sku zote ni adui wa mapinduziSema SISI, sio WAO.
Maana hata wewe ni mmoja wao.
Unaita maskini wenzako Nyumbu, unafurahia wakivunjwa/Mkiwavunja miguu ili familia za maboss zenu waendelee kuishi kitajiri.
View attachment 3486228
Sasa nan ataenda south kufanya mauaji
Mtatuvunja wangapi?Na mtavunjwa miguu kwel sio uongo, hamna mipango mnafanya mambo yenu kama mmekatwa vichwa ujinga na hisia sku zote ni adui wa mapinduzi
Kumbe ni kwenda kufanya mauaji 🤣🤣Sasa nan ataenda south kufanya mauaji