Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Wee mzee kumbe hata akili huna, waliopotea na kuuwawa unafikiri wanao suffer ni ng’ombe au familia zaoYa nini kule ni mkewe na wanae.
Mnaweza kukodi watekaji tu,ila sasa mkewe na wanae wanahusika vipi?
Mnashindwa kuwatafuta wale kwenye video hapo Mbezi Bar kwa mchepuko wake.
Mnataka mkaidhuru familia South?
Zero brain
Hahaa Sasa ulikuwa unadena dema nini kwamba huusiki? Hivi Kuna zile moment mtu inakuwa upo peke yako kitandani kwenye utulivu mkubwa huna wa kuongea nae zaidi ya nafsi yako, huwa kwa dhati ya mioyo yenu mkitafakari jinsi mnavowavunja watu miguu mnajisikiaje kiubinadam?Na mtavunjwa miguu kwel sio uongo, hamna mipango mnafanya mambo yenu kama mmekatwa vichwa ujinga na hisia sku zote ni adui wa mapinduzi
Acha kutishia watu mpuuzi usiye na akili weweUnautafuta ukiwete kwa nguvu zote kijana ukiongeza na kupoteza ubingwa kwa 3some na zaid
Wanajisikia vzur kwa vile hamna akili hamjui jins ya kuorganize mambo yenu had hii Karne ya 21 mnataka kufanya vitu kama mpo enzi za ukolonHahaa Sasa ulikuwa unadena dema nini kwamba huusiki? Hivi Kuna zile moment mtu inakuwa upo peke yako kitandani kwenye utulivu mkubwa huna wa kuongea nae zaidi ya nafsi yako, huwa kwa dhati ya mioyo yenu mkitafakari jinsi mnavowavunja watu miguu mnajisikiaje kiubinadam?
Yeah. Mkoloni mweusiWanajisikia vzur kwa vile hamna akili hamjui jins ya kuorganize mambo yenu had hii Karne ya 21 mnataka kufanya vitu kama mpo enzi za ukolon
Mkishakuwa chawa bila malipo basi mnajiona part of the system, soon akili itarudi, hopefullyWajnga mtaisha tu
We endelea kupiga domo na kuomba Mungu wenzenu wanafanya matendoMkishakuwa chawa bila malipo basi mnajiona part of the system, soon akili itarudi, hopefully
Familia Yako haijakuguswa ndio maana unahisi watu nikama wànacheza acha kejeliKwani taarifa zake mmeanza kuziweka wazi leo ? Mbona hamjafanya chochote
We familia yako iliyoguswa umefanya nini ?Familia Yako haijakuguswa ndio maana unahisi watu nikama wànacheza acha kejeli
Sina mamlaka na Wala jambo la kufanya Mimi binafsi nimemuachia Mungu na mamlaka husika..We familia yako iliyoguswa umefanya nini ?
Umebakiza kupiga mikwara nyuma ya keyboard tuSina mamlaka na Wala jambo la kufanya Mimi binafsi nimemuachia Mungu na mamlaka husika..
Ila siwezi kebehi juhudi zozote zifanywazo Dhidi ya hao madhalimu
Kheri Yako mkuu👍Umebakiza kupiga mikwara nyuma ya keyboard tu