Anaandika Tundu Lissu kuhusu kurudi kwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.

Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?

Na laana iwatafune milele nyumbu nyie
Hata walioko CCM wapo walioshangilia na wanakura mema ya nchi. Nanukuu maneno yafuatayo halafu utajua yalitamkwa na wanaccm au wa Chadema 1. Mungu ameamua kesi 2.Sasa hivi si TUNALAMBA asali? nk.nk.nk.........
 
Kama wataomba msamaha kwa mahandishi na kwa mdomo mbele ya wanachama basi wasamenewe

Lakini wapewe mashariki hawatagombeacheo chochote kwa kipindi Cha miaka 5
Hapo tutawajua ni kina nani walitaka kuiitumia cdm kugombea ubunge

Kusamehe kkunaweza ukakwa kwa aina 2

1. Kutoshitakiwa na chama kwa kutenda jinai
2. Kutokutii maelekezo ya chama

Naunga mkono Kusamehe kwa kuwa tumefindishwa kusamehe kwenye dini zetu

Lowasa aliomba msamaha kwa maandishi?
 
Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.

Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?

Na laana iwatafune milele nyumbu nyie
Jitu liko motoni litampa nani laana na wewe tuondolee uduwanzi wako kama unampenda mfuate huko Jehannam .
 
Kweli chadema ni shimo la CHOO.

Kutetea MAFISADI wao..

Kukaribisha MAJIZI wao...

Kushangilia MABEBERU wao....

Kupinga MAENDELEO wao...

Kukumbatia WASALITI wao...

Kutafuna RUZUKU visivyo halali WAO...

NAAGIZA Hiki chama kifutwe mara moja, MBOWE anawalaghai watanganyika.
Na CCM ni mavi kabisaaaa
 
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19

Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.

Kumbukeni tuliyoyasema hadharani na kwenye vikao vya chama; na waliyoyasema wao hadharani na mahakamani kwa kiapo:

1. Sisi tulisema Kamati Kuu haikuwateua wao, na wala haikuteua Mgombea yeyote wa viti maalum na Katibu Mkuu wetu hakuwahi kujaza fomu za uteuzi zilizokabidhiwa kwake na Tume ya Uchaguzi kama inavyotakiwa na Sheria za Uchaguzi.

2. Wao walidai mahakamani kwa kiapo kwamba walienda kuapa ubunge kwa baraka za chama na walimtaja Katibu Mkuu kuwa alijaza fomu zao za uteuzi.

3. Tulisema hadharani kwamba walikiuka maagizo ya Kamati Kuu kutoutambua uchafuzi mkuu na matokeo yake, huku wengi wao wakiwa wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi waandamizi wa chama. Wao walidai hawakufanya kosa lolote kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za chama.

4. Dhana ya wao kuomba msamaha ina matatizo makubwa kimantiki. Baada ya kuwafukuza uanachama walikimbilia mahakamani kwa madai kwamba tumewakosea. Na wameendelea kudai hivyo hata baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kamati Kuu haikukosea kuwafukuza, na wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu.

5. Wakati wa maridhiano, mojawapo ya madai yetu ilikuwa ni kuondolewa kwao Bungeni na wakati fulani tuliambiwa kwamba Samia amekubali kuwaondoa. Hilo halikutokea. Na halikutokea kwa sababu Samia na CCM haijawahi kukubali kuondolewa kwao Bungeni.

Soma Pia: Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

6. Kumekuwa na kampeni kubwa ya kichini chini, ndani na nje ya chama, ya kuwarudisha wasaliti hawa kwenye chama. Mimi siamini kwamba kampeni hii ina maslahi yoyote ya chama. Ninaamini kwamba wanataka au wanatakiwa warudi ili waweze au wawezeshwe kugombea Ubunge mwaka ujao. Mark my words.

7. Kama tunataka warudi, haiwezi ikawa ni kwa sababu sio wasaliti na hawakukosea. Itakuwa ni kwa sababu hatuna tena nguvu au ujasiri wa kupambana na watu wa aina hii.
Nadhani Mh. Lisu kama vile ana ugonjwa wa akili. Kwanini logic ile ile ya kukaribisha fisadi Lowasa (waliyemnadi hivyo mpaka kusema unachoma mwizi wa kuku unaacha kibaka), yaani afumbe mimacho yake aruhusu tu warudi
 
Hata maccm yalikuwa hamtaki

Nina watu nawajua ni maccm yalisherekea kifo Cha magufuli

Punguza chuki kwa cdm

Ináwezekana cdm Wana .mgogoro Wa ndani lakini mgogoro hao hatuwezi kuhalalisha matendo maovu ya magufuri

Magifufuri alikuwa shetani hakufaa kuitwa mtanzania
Yule mwehu alikuwa Mhutu
 
Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.

Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?

Na laana iwatafune milele nyumbu nyie
Walioshangilia kifo cha Magufuli ni CCM wenzake. Walikuwa hawamtaki. Hata makamu wake alikuwa hamtaki na amegeuza vitu vyote ambavyo Magufuli alikuwa anaamini na kusimamia. Acha kuleta upumbavu wako hapa.
 
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19

Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.

Kumbukeni tuliyoyasema hadharani na kwenye vikao vya chama; na waliyoyasema wao hadharani na mahakamani kwa kiapo:

1. Sisi tulisema Kamati Kuu haikuwateua wao, na wala haikuteua Mgombea yeyote wa viti maalum na Katibu Mkuu wetu hakuwahi kujaza fomu za uteuzi zilizokabidhiwa kwake na Tume ya Uchaguzi kama inavyotakiwa na Sheria za Uchaguzi.

2. Wao walidai mahakamani kwa kiapo kwamba walienda kuapa ubunge kwa baraka za chama na walimtaja Katibu Mkuu kuwa alijaza fomu zao za uteuzi.

3. Tulisema hadharani kwamba walikiuka maagizo ya Kamati Kuu kutoutambua uchafuzi mkuu na matokeo yake, huku wengi wao wakiwa wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi waandamizi wa chama. Wao walidai hawakufanya kosa lolote kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za chama.

4. Dhana ya wao kuomba msamaha ina matatizo makubwa kimantiki. Baada ya kuwafukuza uanachama walikimbilia mahakamani kwa madai kwamba tumewakosea. Na wameendelea kudai hivyo hata baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kamati Kuu haikukosea kuwafukuza, na wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu.

5. Wakati wa maridhiano, mojawapo ya madai yetu ilikuwa ni kuondolewa kwao Bungeni na wakati fulani tuliambiwa kwamba Samia amekubali kuwaondoa. Hilo halikutokea. Na halikutokea kwa sababu Samia na CCM haijawahi kukubali kuondolewa kwao Bungeni.

Soma Pia: Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

6. Kumekuwa na kampeni kubwa ya kichini chini, ndani na nje ya chama, ya kuwarudisha wasaliti hawa kwenye chama. Mimi siamini kwamba kampeni hii ina maslahi yoyote ya chama. Ninaamini kwamba wanataka au wanatakiwa warudi ili waweze au wawezeshwe kugombea Ubunge mwaka ujao. Mark my words.

7. Kama tunataka warudi, haiwezi ikawa ni kwa sababu sio wasaliti na hawakukosea. Itakuwa ni kwa sababu hatuna tena nguvu au ujasiri wa kupambana na watu wa aina hii.
images.jpeg-90.jpg
 
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19
Umesahau tu kutaja haya Tundu Lissu kayaandika wapi; lakini yaliyo andikwa kama ni kweli kayaandika yeye ni sahihi kabisa.
 
Kaandika wapi ?
 
Lisu ndani ya Chadema Hana nguvu kabisa Hana uwezo wenyewe wakuamua warudi
Atabaki tu anapiga miayo tu na watarudi tuTundu Lisu atake au asitake
Uzuri wa Tundu Lissu anabaki kuwa Mwanasiasa bora kabisa asiye na makona makona.
 
Back
Top Bottom