Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ushauri wangu kuhusu suala hili:
1. Ziwekwe hadharani barua za maombi ya msamaha zikiwa na sababu zilizowafanya kufanya walioyafanya pamoja na kukubali masharti yeyote watakayowekewa.
2. Kwa sababu kuomba msamaha ni kukiri kuwa walifanya makosa basi itabidi iongozane na barua ya kujiuzuri kutoka Bungeni.
3. Wapewe nafasi ya kujieleza mbele ya vikao vyote vitakavyoshughulikia maombi yao.
4. Kama watakubaliwa ombi lao wazuiwe nafasi yeyote ya uongozi ndani na nje ya chama kwa miaka mitatu. Uanachama wao uwe provisional ambao utathibitishwa baada ya miaka mitatu.
Amandla.