Anaandika Tundu Lissu kuhusu kurudi kwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19

Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.

Kumbukeni tuliyoyasema hadharani na kwenye vikao vya chama; na waliyoyasema wao hadharani na mahakamani kwa kiapo:

1. Sisi tulisema Kamati Kuu haikuwateua wao, na wala haikuteua Mgombea yeyote wa viti maalum na Katibu Mkuu wetu hakuwahi kujaza fomu za uteuzi zilizokabidhiwa kwake na Tume ya Uchaguzi kama inavyotakiwa na Sheria za Uchaguzi.

2. Wao walidai mahakamani kwa kiapo kwamba walienda kuapa ubunge kwa baraka za chama na walimtaja Katibu Mkuu kuwa alijaza fomu zao za uteuzi.

3. Tulisema hadharani kwamba walikiuka maagizo ya Kamati Kuu kutoutambua uchafuzi mkuu na matokeo yake, huku wengi wao wakiwa wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi waandamizi wa chama. Wao walidai hawakufanya kosa lolote kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za chama.

4. Dhana ya wao kuomba msamaha ina matatizo makubwa kimantiki. Baada ya kuwafukuza uanachama walikimbilia mahakamani kwa madai kwamba tumewakosea. Na wameendelea kudai hivyo hata baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kamati Kuu haikukosea kuwafukuza, na wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu.

5. Wakati wa maridhiano, mojawapo ya madai yetu ilikuwa ni kuondolewa kwao Bungeni na wakati fulani tuliambiwa kwamba Samia amekubali kuwaondoa. Hilo halikutokea. Na halikutokea kwa sababu Samia na CCM haijawahi kukubali kuondolewa kwao Bungeni.

Soma Pia: Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

6. Kumekuwa na kampeni kubwa ya kichini chini, ndani na nje ya chama, ya kuwarudisha wasaliti hawa kwenye chama. Mimi siamini kwamba kampeni hii ina maslahi yoyote ya chama. Ninaamini kwamba wanataka au wanatakiwa warudi ili waweze au wawezeshwe kugombea Ubunge mwaka ujao. Mark my words.

7. Kama tunataka warudi, haiwezi ikawa ni kwa sababu sio wasaliti na hawakukosea. Itakuwa ni kwa sababu hatuna tena nguvu au ujasiri wa kupambana na watu wa aina hii.
Lissu ana roho mbaya sana ila anajificja katika sheria na demokrasia
 
Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.

Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?

Na laana iwatafune milele nyumbu nyie
Hoja mfu. Mfufue basi ili waridhiane!!
 
Lissu ana roho mbaya sana ila anajificja katika sheria na demokrasia
Lissu is unnecesssrily rigid for his personal interests,vinginevyo hawa mabinti kama wanataka kukitumikia chama kuna shida gani na kama wata plead guility na kusema hadharani yaliyowasibu. wasikilizeni.Kusamehe imo hata kwenye vitabu vitakatifu na je kama mahakama ikiwarudisha itakuwaje. Kisaikolojia tujiandae kwa lolote.
 
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19

Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.

Kumbukeni tuliyoyasema hadharani na kwenye vikao vya chama; na waliyoyasema wao hadharani na mahakamani kwa kiapo:

1. Sisi tulisema Kamati Kuu haikuwateua wao, na wala haikuteua Mgombea yeyote wa viti maalum na Katibu Mkuu wetu hakuwahi kujaza fomu za uteuzi zilizokabidhiwa kwake na Tume ya Uchaguzi kama inavyotakiwa na Sheria za Uchaguzi.

2. Wao walidai mahakamani kwa kiapo kwamba walienda kuapa ubunge kwa baraka za chama na walimtaja Katibu Mkuu kuwa alijaza fomu zao za uteuzi.

3. Tulisema hadharani kwamba walikiuka maagizo ya Kamati Kuu kutoutambua uchafuzi mkuu na matokeo yake, huku wengi wao wakiwa wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi waandamizi wa chama. Wao walidai hawakufanya kosa lolote kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za chama.

4. Dhana ya wao kuomba msamaha ina matatizo makubwa kimantiki. Baada ya kuwafukuza uanachama walikimbilia mahakamani kwa madai kwamba tumewakosea. Na wameendelea kudai hivyo hata baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kamati Kuu haikukosea kuwafukuza, na wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu.

5. Wakati wa maridhiano, mojawapo ya madai yetu ilikuwa ni kuondolewa kwao Bungeni na wakati fulani tuliambiwa kwamba Samia amekubali kuwaondoa. Hilo halikutokea. Na halikutokea kwa sababu Samia na CCM haijawahi kukubali kuondolewa kwao Bungeni.

Soma Pia: Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

6. Kumekuwa na kampeni kubwa ya kichini chini, ndani na nje ya chama, ya kuwarudisha wasaliti hawa kwenye chama. Mimi siamini kwamba kampeni hii ina maslahi yoyote ya chama. Ninaamini kwamba wanataka au wanatakiwa warudi ili waweze au wawezeshwe kugombea Ubunge mwaka ujao. Mark my words.

7. Kama tunataka warudi, haiwezi ikawa ni kwa sababu sio wasaliti na hawakukosea. Itakuwa ni kwa sababu hatuna tena nguvu au ujasiri wa kupambana na watu wa aina hii.
Lissu yuko sahihi. Wakisamehewa wataonekana kweli walionewa. Ingawa ni kweli hawajawahi kuisemea maneno ya shombo CDM kama wanavyofanya wakina Upendo Peneza bado hawastahili msamaha. Wajiunge tu na vyama vingine au wastaafu siasa.

Amandla...
 
Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.
Ningekuwa karibu (na access) na Tundu Lissu ningemwambia kwamba haya maneno ni mazito na sahihi kabisa, na kwamba nami msimamo wangu ungekuwa ni huo huo...

Lakini:
Mjadala umefungwa
Naomba kukumbusha; kipa umbele cha CHADEMA sasa hivi hasa ni nini? Ni hawa mabinti?

Ndiyo, hakuna kilicho bora zaidi ya kuwa na msimamo thabiti juu ya 'imani' anayo kuwa nayo kiongozi; kwa sababu hii ndiyo nguzo yote inayomfanya kiongozi huyo aaminiwe na watu/ wafuasi anao waongoza.

Sasa swali ni hili: hawa mabinti wakirudi CHADEMA watavuruga juhudi za kuiondoa CCM madarakani, jambo ambalo kwangu, na bila shaka kwa Tundu Lissu ndicho kipaumbele cha kwanza kabisa.
Kama kurudi kwa hawa watu ndani ya chama hakufifishi juhudi hizi za CHADEMA, basi wasiwe sababu ya kuharibu kazi hiyo muhimu zaidi ya chama

Mimi mwenyewe najishangaa sana kwa kukiri kwamba ingetokea niwaze kurudi kwa hawa mabinti ndani ya chama hicho; lakini ninajituliza akili kwa kutambua uwezekano wa kufikia lengo kuu zaidi, ambalo ni kuiondoa CCM madarakani
Walioshangilia kifo cha Magufuli ni CCM wenzake. Walikuwa hawamtaki. Hata makamu wake alikuwa hamtaki na amegeuza vitu vyote ambavyo Magufuli alikuwa anaamini na kusimamia. Acha kuleta upumbavu wako hapa.
Naamini Tundu Lissu ni 'pragmatic' vya kutosha, kuweza kujua lengo kuu la chama hasa ni nini. Kama kurudi kwa hawa mabinti hakuleti hofu zaidi juu ya hujuma wanazoweza kuzileta dhidi ya chama, sioni kwa nini hili swala liwe la kutiliwa maanani sana wakati huu.
 
Lissu is unnecesssrily rigid for his personal interests,vinginevyo hawa mabinti kama wanataka kukitumikia chama kuna shida gani na kama wata plead guility na kusema hadharani yaliyowasibu. wasikilizeni.Kusamehe imo hata kwenye vitabu vitakatifu na je kama mahakama ikiwarudisha itakuwaje. Kisaikolojia tujiandae kwa lolote.
Sio roho mbaya wala rigidness. Wakati wa kuomba msamaha na kurudi ulikuwa miaka miwili iliyopita. Au labda wangejiuzuru ubunge pale Mahakama iliposema kesi yao haina mashiko. Ni wakati muafaka wa CDM kusimama na wale ambao walisimama nao wakati hawa wanavuta mshiko bungeni. Ni kitu gani kinawamisha Chadema kuwa hawatarudia tena walichokifanya katika uchaguzi wa 2025?

Ila wanaosema kuwa huu ni mgogoro hawana mapenzi na CDM. Ni chama hai peke yake ndio kinakubali tofauti za mawazo miongoni mwa wanachama wake.

Mahakama haiwezi kuwarudisha maana imeisha tamka kuwa CDM ilikuwa na haki kuwatimua. Kama kweli wanakipenda CDM na ni wapinzani wa dhati wajiunge na wakina Fatma Karume katika uanaharakati. Wabakie kama mashabiki wa CDM wasio wanachama. Kuna maisha nje ya chama.

Amandla...
 
Lissu is unnecesssrily rigid for his personal interests,vinginevyo hawa mabinti kama wanataka kukitumikia chama kuna shida gani na kama wata plead guility na kusema hadharani yaliyowasibu. wasikilizeni.Kusamehe imo hata kwenye vitabu vitakatifu na je kama mahakama ikiwarudisha itakuwaje. Kisaikolojia tujiandae kwa lolote.
Yeye anatoka katika koo zinazodharau wanawake, angalia hata anavyodharau nchi kuwa na Rais Mwanamke. Hajui katika siasa hakuna adui wa kudumu, ila kuna maslahi ya kudumu, maslahi ya kudumu ya chadema ni kuiondoa CCM madarakani, ili kiwe chama tawala, kinatokaje na kutolewa na wanachama gani is not an issue
 
Lissu is unnecesssrily rigid for his personal interests,vinginevyo hawa mabinti kama wanataka kukitumikia chama kuna shida gani na kama wata plead guility na kusema hadharani yaliyowasibu. wasikilizeni.Kusamehe imo hata kwenye vitabu vitakatifu na je kama mahakama ikiwarudisha itakuwaje. Kisaikolojia tujiandae kwa lolote.
Chadema wanakosa emotional intelligence.
 
Kweli chadema ni shimo la CHOO.

Kutetea MAFISADI wao..

Kukaribisha MAJIZI wao...

Kushangilia MABEBERU wao....

Kupinga MAENDELEO wao...

Kukumbatia WASALITI wao...

Kutafuna RUZUKU visivyo halali WAO...

NAAGIZA Hiki chama kifutwe mara moja, MBOWE anawalaghai watanganyika.
UWT mnateseka mkiwa wapi?
 
Tatizo la hii kitu ni kuwa wapinzani wakubwa wa Chadema ndio wanaotaka wakina Halima wasamehewe. Na ni hao hao ndio wanaodai kuwa Mbowe ndie anaowabeba. Tangu lini adui yako akakutakia mema?

Amandla...
 
Huyu naye aache ufala! Kuna kisa hakisameheki? CHADEMA iwasamehe hawa akina mama warudi kwenye chama! Lissu naye ameumbiwa li roho la upingaji tu!
 
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19

Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.

Kumbukeni tuliyoyasema hadharani na kwenye vikao vya chama; na waliyoyasema wao hadharani na mahakamani kwa kiapo:

1. Sisi tulisema Kamati Kuu haikuwateua wao, na wala haikuteua Mgombea yeyote wa viti maalum na Katibu Mkuu wetu hakuwahi kujaza fomu za uteuzi zilizokabidhiwa kwake na Tume ya Uchaguzi kama inavyotakiwa na Sheria za Uchaguzi.

2. Wao walidai mahakamani kwa kiapo kwamba walienda kuapa ubunge kwa baraka za chama na walimtaja Katibu Mkuu kuwa alijaza fomu zao za uteuzi.

3. Tulisema hadharani kwamba walikiuka maagizo ya Kamati Kuu kutoutambua uchafuzi mkuu na matokeo yake, huku wengi wao wakiwa wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi waandamizi wa chama. Wao walidai hawakufanya kosa lolote kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za chama.

4. Dhana ya wao kuomba msamaha ina matatizo makubwa kimantiki. Baada ya kuwafukuza uanachama walikimbilia mahakamani kwa madai kwamba tumewakosea. Na wameendelea kudai hivyo hata baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kamati Kuu haikukosea kuwafukuza, na wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu.

5. Wakati wa maridhiano, mojawapo ya madai yetu ilikuwa ni kuondolewa kwao Bungeni na wakati fulani tuliambiwa kwamba Samia amekubali kuwaondoa. Hilo halikutokea. Na halikutokea kwa sababu Samia na CCM haijawahi kukubali kuondolewa kwao Bungeni.

Soma Pia: Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

6. Kumekuwa na kampeni kubwa ya kichini chini, ndani na nje ya chama, ya kuwarudisha wasaliti hawa kwenye chama. Mimi siamini kwamba kampeni hii ina maslahi yoyote ya chama. Ninaamini kwamba wanataka au wanatakiwa warudi ili waweze au wawezeshwe kugombea Ubunge mwaka ujao. Mark my words.

7. Kama tunataka warudi, haiwezi ikawa ni kwa sababu sio wasaliti na hawakukosea. Itakuwa ni kwa sababu hatuna tena nguvu au ujasiri wa kupambana na watu wa aina hii.
Utakua ni Upuuzi wa Kiwango Cha lami kama Chadema itawarudisha hao Wasaliti....!
Chadema itakua Haina Uhalalai Tena kusimamia Maadili ya Nchi hii kama itawarudisha hao Ndumilakuwili....!!

Nakubaliana na Msimamo wa Tundu Lissu.
 
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19

Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.

Kumbukeni tuliyoyasema hadharani na kwenye vikao vya chama; na waliyoyasema wao hadharani na mahakamani kwa kiapo:

1. Sisi tulisema Kamati Kuu haikuwateua wao, na wala haikuteua Mgombea yeyote wa viti maalum na Katibu Mkuu wetu hakuwahi kujaza fomu za uteuzi zilizokabidhiwa kwake na Tume ya Uchaguzi kama inavyotakiwa na Sheria za Uchaguzi.

2. Wao walidai mahakamani kwa kiapo kwamba walienda kuapa ubunge kwa baraka za chama na walimtaja Katibu Mkuu kuwa alijaza fomu zao za uteuzi.

3. Tulisema hadharani kwamba walikiuka maagizo ya Kamati Kuu kutoutambua uchafuzi mkuu na matokeo yake, huku wengi wao wakiwa wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi waandamizi wa chama. Wao walidai hawakufanya kosa lolote kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za chama.

4. Dhana ya wao kuomba msamaha ina matatizo makubwa kimantiki. Baada ya kuwafukuza uanachama walikimbilia mahakamani kwa madai kwamba tumewakosea. Na wameendelea kudai hivyo hata baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kamati Kuu haikukosea kuwafukuza, na wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu.

5. Wakati wa maridhiano, mojawapo ya madai yetu ilikuwa ni kuondolewa kwao Bungeni na wakati fulani tuliambiwa kwamba Samia amekubali kuwaondoa. Hilo halikutokea. Na halikutokea kwa sababu Samia na CCM haijawahi kukubali kuondolewa kwao Bungeni.

Soma Pia: Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

6. Kumekuwa na kampeni kubwa ya kichini chini, ndani na nje ya chama, ya kuwarudisha wasaliti hawa kwenye chama. Mimi siamini kwamba kampeni hii ina maslahi yoyote ya chama. Ninaamini kwamba wanataka au wanatakiwa warudi ili waweze au wawezeshwe kugombea Ubunge mwaka ujao. Mark my words.

7. Kama tunataka warudi, haiwezi ikawa ni kwa sababu sio wasaliti na hawakukosea. Itakuwa ni kwa sababu hatuna tena nguvu au ujasiri wa kupambana na watu wa aina hii.
19 watarudi tu. Mwambieni Lisu Chadema aliikuta na ataiacha Ikiwa na uimara wake uleule ukiimarishwa na mama Kizimkazi.kwa mgongo wa Ruzuku. Tanzania Ukitaka.kuepuka.utapeli.wa Vyama vya siasa ni kutokua mwanachama wa chama chochote. Hakuna.chama kisafi cha kutamba hapa kwetu.
 
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19

Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi maana yake ni kwamba sisi viongozi wa chama wote tulikuwa waongo, ila wao ndio walikuwa wa kweli.

Kumbukeni tuliyoyasema hadharani na kwenye vikao vya chama; na waliyoyasema wao hadharani na mahakamani kwa kiapo:

1. Sisi tulisema Kamati Kuu haikuwateua wao, na wala haikuteua Mgombea yeyote wa viti maalum na Katibu Mkuu wetu hakuwahi kujaza fomu za uteuzi zilizokabidhiwa kwake na Tume ya Uchaguzi kama inavyotakiwa na Sheria za Uchaguzi.

2. Wao walidai mahakamani kwa kiapo kwamba walienda kuapa ubunge kwa baraka za chama na walimtaja Katibu Mkuu kuwa alijaza fomu zao za uteuzi.

3. Tulisema hadharani kwamba walikiuka maagizo ya Kamati Kuu kutoutambua uchafuzi mkuu na matokeo yake, huku wengi wao wakiwa wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi waandamizi wa chama. Wao walidai hawakufanya kosa lolote kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za chama.

4. Dhana ya wao kuomba msamaha ina matatizo makubwa kimantiki. Baada ya kuwafukuza uanachama walikimbilia mahakamani kwa madai kwamba tumewakosea. Na wameendelea kudai hivyo hata baada ya Mahakama Kuu kuamua kwamba Kamati Kuu haikukosea kuwafukuza, na wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu.

5. Wakati wa maridhiano, mojawapo ya madai yetu ilikuwa ni kuondolewa kwao Bungeni na wakati fulani tuliambiwa kwamba Samia amekubali kuwaondoa. Hilo halikutokea. Na halikutokea kwa sababu Samia na CCM haijawahi kukubali kuondolewa kwao Bungeni.

Soma Pia: Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

6. Kumekuwa na kampeni kubwa ya kichini chini, ndani na nje ya chama, ya kuwarudisha wasaliti hawa kwenye chama. Mimi siamini kwamba kampeni hii ina maslahi yoyote ya chama. Ninaamini kwamba wanataka au wanatakiwa warudi ili waweze au wawezeshwe kugombea Ubunge mwaka ujao. Mark my words.

7. Kama tunataka warudi, haiwezi ikawa ni kwa sababu sio wasaliti na hawakukosea. Itakuwa ni kwa sababu hatuna tena nguvu au ujasiri wa kupambana na watu wa aina hii.
Wruhusiwe kurudi kwa shrti la kutokupata nafasj za kugombea ubunge na uongolzi kwa kipindi cha miaka mitano
 
Back
Top Bottom